Itaje hapa shule ya Msingi ya Serikali inayotoa elimu kwa lugha ya kiingereza (English medium) iliyopo mkoani kwako


Kumekuwa na hoja kwamba majina wapewayo watoto yanaweza kuwafanya wakafanikiwa sana maishani ama wakawa na changamotooo.....Je inaweza ikawa pia kwa majina ya shule wasomazo watoto...mfano hiloo ..kaauchii likamfanya mwanafunzi akawa anapenda kula/liwa tunda kimasiharaaa
 
Kuna shule za secondary nazo ni kiboko kwa mandhari
 
nyanza ya mwanza sijui tangu lini imekuwa english medium ( chaka hili)
 
mkoani primary school-kibaha pwani
 
Tatizo kumwandikisha mwanao hapo mpaka angie ni shughuli Takukuru nadhani wangeweka kambi kwenye hizi shule
 
Kuna shule za secondary nazo ni kiboko kwa mandhariView attachment 1508442
Pumba-vu sana Nappe, Kumbe ulitumia Wizara husika kupeleka miradi ya Uboreshaji wa Viwanja kwenye Kijiji chako, unadhani ujanja kumbe ni upuuuzi na upotezaji wa Rasilimali za Taifa. Nimekutoa thamani kabisa kwa ubinafsi na Upendeleo wa dhahiri, mwisho wa siku hilo Carpet litaoza kwa jua with Under Utilization. Hongera baba wa Taifa kwa Usawa maaana hatukuona kila kitu kikipelekwa Butiama.
 
Tangu lini liserikali likawa na akili ya kuongoza na kufanya biashara ya shule au elimu kwa ujumla?

Inefficiency tupu na ujinga ujinga!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…