Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante, nilikuwa sijui.ndio chief
nakahoja ni ya kanisa?Nyakahoja ni ya kanisa RC,labda umesahau CHATO s/m
wengi hawajui mkuusikuwahi kujua
nadhani huu ni waraka wa zamani, now hizi shule zimeongezeka sana
Attachment haifungukiView attachment 1508434hii ni ya serikali sina uhakika kama ina fundisha kizungu... (Kwa mujibu wa mdau)
http://www.moe.go.tz/sw/machapisho/category/44-circulars-nyaraka.htmlnadhani huu ni waraka wa zamani, now hizi shule zimeongezeka sana
Ahsante chief
I don't think so, mkuu.Inawezekana zipo chief na hatuzifahamu tu
nyanza ya mwanza sijui tangu lini imekuwa english medium ( chaka hili)Habari zenu wanabodi,
Kuna watu wengi hawafahamu kama serikali inazo shule zake za msingi za mitaala ya kiingereza (English medium) kwa gharama nafuu, Tusaidiane kufahamu majina na zilipo kwa kila eneo/mkoa hizi shule. Naanza
1. Olympio - Dar Es Salaam
2. Diamond - Dar Es Salaam
3. Magufuli - Mbeya
4. Mapinduzi - Gangilonga Iringa
5. Mkapa - Mbeya
6. Oysterbay primary school - Dar
7. Nyasa primary school - Kyela, Mbeya
8. Arusha primary school - Arusha
9. Angaza - Mbeya
10. Nuru - Mbeya
11. Iringa primary school - Iringa
12. Lupilisi - Ruvuma
13. Tanga Primary school - Tanga
14. Kisimani - Arusha
15. Azimio - Mbeya
16. Nyanza primary school - Mwanza
17. Chato primary school - Geita
18..........................................................
19.........................................................
20..............................................................
Karibuni wakuuu
inawezekana nimechanganya mkuu ngoja nicheki vizurinyanza ya mwanza sijui tangu lini imekuwa english medium ( chaka hili)
mkoani primary school-kibaha pwaniHabari zenu wanabodi,
Kuna watu wengi hawafahamu kama serikali inazo shule zake za msingi za mitaala ya kiingereza (English medium) kwa gharama nafuu, Tusaidiane kufahamu majina na zilipo kwa kila eneo/mkoa hizi shule. Naanza
1. Olympio - Dar Es Salaam
2. Diamond - Dar Es Salaam
3. Magufuli - Mbeya
4. Mapinduzi - Gangilonga Iringa
5. Mkapa - Mbeya
6. Oysterbay primary school - Dar
7. Nyasa primary school - Kyela, Mbeya
8. Arusha primary school - Arusha
9. Angaza - Mbeya
10. Nuru - Mbeya
11. Iringa primary school - Iringa
12. Lupilisi - Ruvuma
13. Changa Primary school - Tanga
14. Kisimani - Arusha
15. Azimio - Mbeya
16. Nyanza primary school - Mwanza
17. Nyakahoja primary school - Mwanza
18..........................................................
19.........................................................
20..............................................................
Karibuni wakuuu
Tatizo kumwandikisha mwanao hapo mpaka angie ni shughuli Takukuru nadhani wangeweka kambi kwenye hizi shuleHabari zenu wanabodi,
Kuna watu wengi hawafahamu kama serikali inazo shule zake za msingi za mitaala ya kiingereza (English medium) kwa gharama nafuu, Tusaidiane kufahamu majina na zilipo kwa kila eneo/mkoa hizi shule. Naanza
1. Olympio - Dar Es Salaam
2. Diamond - Dar Es Salaam
3. Magufuli - Mbeya
4. Mapinduzi - Gangilonga Iringa
5. Mkapa - Mbeya
6. Oysterbay primary school - Dar
7. Nyasa primary school - Kyela, Mbeya
8. Arusha primary school - Arusha
9. Angaza - Mbeya
10. Nuru - Mbeya
11. Iringa primary school - Iringa
12. Lupilisi - Ruvuma
13. Tanga Primary school - Tanga
14. Kisimani - Arusha
15. Azimio - Mbeya
16. Chato primary school - Geita
17..........................................................
1.........................................................
19..............................................................
Karibuni wakuuu
😀😀😀Tatizo kumwandikisha mwanao hapo mpaka angie ni shughuli Takukuru nadhani wangeweka kambi kwenye hizi shule
Pumba-vu sana Nappe, Kumbe ulitumia Wizara husika kupeleka miradi ya Uboreshaji wa Viwanja kwenye Kijiji chako, unadhani ujanja kumbe ni upuuuzi na upotezaji wa Rasilimali za Taifa. Nimekutoa thamani kabisa kwa ubinafsi na Upendeleo wa dhahiri, mwisho wa siku hilo Carpet litaoza kwa jua with Under Utilization. Hongera baba wa Taifa kwa Usawa maaana hatukuona kila kitu kikipelekwa Butiama.Kuna shule za secondary nazo ni kiboko kwa mandhariView attachment 1508442
Tangu lini liserikali likawa na akili ya kuongoza na kufanya biashara ya shule au elimu kwa ujumla?Habari zenu wanabodi,
Kuna watu wengi hawafahamu kama serikali inazo shule zake za msingi za mitaala ya kiingereza (English medium) kwa gharama nafuu, Tusaidiane kufahamu majina na zilipo kwa kila eneo/mkoa hizi shule. Naanza
1. Olympio - Dar Es Salaam
2. Diamond - Dar Es Salaam
3. Magufuli - Mbeya
4. Mapinduzi - Gangilonga Iringa
5. Mkapa - Mbeya
6. Oysterbay primary school - Dar
7. Nyasa primary school - Kyela, Mbeya
8. Arusha primary school - Arusha
9. Angaza - Mbeya
10. Nuru - Mbeya
11. Iringa primary school - Iringa
12. Lupilisi - Ruvuma
13. Tanga Primary school - Tanga
14. Kisimani - Arusha
15. Azimio - Mbeya
16. Nyanza primary school - Mwanza
17. Chato primary school - Geita
18..........................................................
19.........................................................
20..............................................................
Karibuni wakuuu
Lengo kuu ni nini hasa?