Itaje hapa shule ya Msingi ya Serikali inayotoa elimu kwa lugha ya kiingereza (English medium) iliyopo mkoani kwako

Itaje hapa shule ya Msingi ya Serikali inayotoa elimu kwa lugha ya kiingereza (English medium) iliyopo mkoani kwako

Nyanza primary school,Nyakahoja primary school Mwanza
Nyanza miaka yote ilikuwa ya kiswahili labda Kama wameanza awamu hii. Nyakahoja ilikuwa chini ya kanisa katoliki, labda Kama imetaifishwa hivi karibuni
 
Chonde chonde, juhudi zifanyike kuikoa wilaya ya kilosa, miundombinu ya kielimu iko 0 .

Wananchi wa eneo lile ambao wanakipato waanzishe shule za awali na kuzisimamia ipasavyo.

Huku wakiwekeza pia kwenye msingi na sekondari wilaya hii kwa kweli iko hovyo kielimu sijui watumishi ambao ni wageni hali hii wanapambana nayo vp
 
Dar es salaam University College of Education (DUCE) primary school au zamani ikiitwa shule ya msingi Chang'ombe Mazoezi
Hivi sasa mkondo wa kiingereza upo mpaka darasa la 4,lengo ni kuwa hawa wanafunzi wa sasa wa dafasa la 5 wakimaliza darasa la 7 shule yote itakuwa ni ya mkondo wa kiingereza.
Hivyo basi wanafunzi wa sasa wa farasa la 1 mpaka la 4 wanasoma kwa kutumia kiingereza.
 
Hivi kuna uwezekano kumhamisha mtoto kutoka private kumpeleka katika shule hizo za serikali za kulipia?
 
Jamani connection zinahitajika kupata nafasi madogo wakakitifue kwenye hzo shule maana naona shule wanayosoma ipo nyuma zaid ya hzo shule za government pia nalipa Ada kubwa kuliko connection tafadhali tuanze kumteka yupi mwl mkuu au afisa elimu
 
Habari zenu wanabodi,

Kuna watu wengi hawafahamu kama serikali inazo shule zake za msingi za mitaala ya kiingereza (English medium) kwa gharama nafuu, Tusaidiane kufahamu majina na zilipo kwa kila eneo/mkoa hizi shule. Naanza

1. Olympio - Dar Es Salaam
2. Diamond - Dar Es Salaam
3. Magufuli - Mbeya
4. Mapinduzi - Gangilonga Iringa
5. Mkapa - Mbeya
6. Oysterbay primary school - Dar
7. Nyasa primary school - Kyela, Mbeya
8. Arusha primary school - Arusha
9. Angaza - Mbeya
10. Nuru - Mbeya
11. Iringa primary school - Iringa
12. Lupilisi - Ruvuma
13. Tanga Primary school - Tanga
14. Kisimani - Arusha
15. Azimio - Mbeya
16. Chato primary school - Geita
17. mkoani primary school-kibaha pwani
1.........................................................
19..............................................................


Karibuni wakuuu
Chadema secondary school Moshi Tanzania
 
Back
Top Bottom