Hero
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 3,932
- 2,839
Nyanza sio English medium, na Nyakahoja siyo ya serikali!Nyanza primary school,Nyakahoja primary school Mwanza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyanza sio English medium, na Nyakahoja siyo ya serikali!Nyanza primary school,Nyakahoja primary school Mwanza
Nyanza sio English medium, na Nyakahoja siyo ya serikali!Nyanza primary school,Nyakahoja primary school Mwanza
Tayari hii chiefAzimio - Mbeya Mjini
Nyanza sio English medium, na Nyakahoja siyo ya serikali!Nyanza primary school,Nyakahoja primary school Mwanza
Anza na M/M!Jamani connection zinahitajika kupata nafasi madogo wakakitifue kwenye hzo shule maana naona shule wanayosoma ipo nyuma zaid ya hzo shule za government pia nalipa Ada kubwa kuliko connection tafadhali tuanze kumteka yupi mwl mkuu au afisa elimu
Nifungue mzee tusaidiane hzo connection nakukaribisha SanaAnza na M/M!
Mbona mama yako ananikubali sana!!Duh..! Vichaa huwa hawakosekani
Imeanza lini kua English medium?mkoani primary school-kibaha pwani
hilo ni swali la nyongeza auImeanza lini kua English medium?
Shukrani. Sikuwahi kujua hiliHabari zenu wanabodi,
Kuna watu wengi hawafahamu kama serikali inazo shule zake za msingi za mitaala ya kiingereza (English medium) kwa gharama nafuu, Tusaidiane kufahamu majina na zilipo kwa kila eneo/mkoa hizi shule. Naanza
1. Olympio - Dar Es Salaam
2. Diamond - Dar Es Salaam
3. Magufuli - Mbeya
4. Mapinduzi - Gangilonga Iringa
5. Mkapa - Mbeya
6. Oysterbay primary school - Dar
7. Nyasa primary school - Kyela, Mbeya
8. Arusha primary school - Arusha
9. Angaza - Mbeya
10. Nuru - Mbeya
11. Iringa primary school - Iringa
12. Lupilisi - Ruvuma
13. Tanga Primary school - Tanga
14. Kisimani - Arusha
15. Azimio - Mbeya
16. Chato primary school - Geita
17. mkoani primary school-kibaha pwani
1. Duce primary School - Dar
19..........................
20.....................................
Karibuni wakuuu
Kihistoria utakuta zilikuwa zinafundisha watoto wa wakoloni enz hzo na baadhi ya wakubwa enzi hzo mwishon na baada ya Uhuru ndomana zipo chache na mikoa ambayo ilkua potential kwa wakoloni nyingi historia zao zilianzia hapo ila chache mpya za juzi n ufadhili wa foreigners kudevelop jamii flan waliokusudiaHivi mantiki hasa ya Serikali kuanzisha hizi shule ilikuwa ni nini hasa!??
Duh..!Kihistoria utakuta zilikuwa zinafundisha watoto wa wakoloni enz hzo na baadhi ya wakubwa enzi hzo mwishon na baada ya Uhuru ndomana zipo chache na mikoa ambayo ilkua potential kwa wakoloni nyingi historia zao zilianzia hapo ila chache mpya za juzi n ufadhili wa foreigners kudevelop jamii flan waliokusudia
Wabadili tu mfumo wote wa elimu uwe wa mtaala wa kiingerezaMimi naona ingekua bora kìla wilaya kungekua na shule za aina hiyo lakini naona shule izo katika mikoa mingine haziko kigezo sijui kinakua nini ukweli elimu yetu ni duni sanakatika shule za selikali
Hizo shule hazijaanzishwa na serikali kuu bali zipo chini ya halmashauri za miji husika.Mimi naona ingekua bora kìla wilaya kungekua na shule za aina hiyo lakini naona shule izo katika mikoa mingine haziko kigezo sijui kinakua nini ukweli elimu yetu ni duni sanakatika shule za selikali