Itaje hapa shule ya Msingi ya Serikali inayotoa elimu kwa lugha ya kiingereza (English medium) iliyopo mkoani kwako

Itaje hapa shule ya Msingi ya Serikali inayotoa elimu kwa lugha ya kiingereza (English medium) iliyopo mkoani kwako

Nyanza primary school,Nyakahoja primary school Mwanza
Nyanza sio English medium, na Nyakahoja siyo ya serikali!
Jamani connection zinahitajika kupata nafasi madogo wakakitifue kwenye hzo shule maana naona shule wanayosoma ipo nyuma zaid ya hzo shule za government pia nalipa Ada kubwa kuliko connection tafadhali tuanze kumteka yupi mwl mkuu au afisa elimu
Anza na M/M!
 
Mimi naona ingekua bora kìla wilaya kungekua na shule za aina hiyo lakini naona shule izo katika mikoa mingine haziko kigezo sijui kinakua nini ukweli elimu yetu ni duni sanakatika shule za selikali
 
Habari zenu wanabodi,

Kuna watu wengi hawafahamu kama serikali inazo shule zake za msingi za mitaala ya kiingereza (English medium) kwa gharama nafuu, Tusaidiane kufahamu majina na zilipo kwa kila eneo/mkoa hizi shule. Naanza

1. Olympio - Dar Es Salaam
2. Diamond - Dar Es Salaam
3. Magufuli - Mbeya
4. Mapinduzi - Gangilonga Iringa
5. Mkapa - Mbeya
6. Oysterbay primary school - Dar
7. Nyasa primary school - Kyela, Mbeya
8. Arusha primary school - Arusha
9. Angaza - Mbeya
10. Nuru - Mbeya
11. Iringa primary school - Iringa
12. Lupilisi - Ruvuma
13. Tanga Primary school - Tanga
14. Kisimani - Arusha
15. Azimio - Mbeya
16. Chato primary school - Geita
17. mkoani primary school-kibaha pwani
1. Duce primary School - Dar
19..........................

20.....................................

Karibuni wakuuu
Shukrani. Sikuwahi kujua hili
 
Hivi mantiki hasa ya Serikali kuanzisha hizi shule ilikuwa ni nini hasa!??
 
Hivi mantiki hasa ya Serikali kuanzisha hizi shule ilikuwa ni nini hasa!??
Kihistoria utakuta zilikuwa zinafundisha watoto wa wakoloni enz hzo na baadhi ya wakubwa enzi hzo mwishon na baada ya Uhuru ndomana zipo chache na mikoa ambayo ilkua potential kwa wakoloni nyingi historia zao zilianzia hapo ila chache mpya za juzi n ufadhili wa foreigners kudevelop jamii flan waliokusudia
 
Duh..!
 
Mimi naona ingekua bora kìla wilaya kungekua na shule za aina hiyo lakini naona shule izo katika mikoa mingine haziko kigezo sijui kinakua nini ukweli elimu yetu ni duni sanakatika shule za selikali
Wabadili tu mfumo wote wa elimu uwe wa mtaala wa kiingereza
 
Mimi naona ingekua bora kìla wilaya kungekua na shule za aina hiyo lakini naona shule izo katika mikoa mingine haziko kigezo sijui kinakua nini ukweli elimu yetu ni duni sanakatika shule za selikali
Hizo shule hazijaanzishwa na serikali kuu bali zipo chini ya halmashauri za miji husika.
 
hapa mkuu wa mkoa wa mbeya akijaribu kuingilia ishu ya shule ya msingi mkapa. Mi naona kabisa kuna conflicts of interests kati ya jiji na serikali kuu, ni nani hasa anapaswa kufaidika?. Shule ilijengwa kwa pesa kutoka mfuko upi? na kwanini jiji litumie walimu wanaolipwa na serikali kuu.

kama mali zote za jiji ni za serikali kuu mbona Mbeya city fc inafeli kila siku na hatusikii wakijihusisha nayo hahaaaaa
 
Back
Top Bottom