Itakua vyema Dkt. Musukuma akiteuliwa kuwa Waziri wa Madini maana ana uzoefu na mambo ya madini

Itakua vyema Dkt. Musukuma akiteuliwa kuwa Waziri wa Madini maana ana uzoefu na mambo ya madini

Waziri lazima awe na degree angalau moja ya darasani

Achana na huo udokta wake wa Mchongo

Inshort ni kwamba Msukuma hajakidhi vigezo vya kuwa Waziri.
🤫🤫🤫🤫🤫🤫🤫🤫🤫🤫🤫
 
Bila kumung'unya maneno, wakuu mimi naona Itakua vyema Dkt. Musukuma akiteuliwa kuwa waziri wa madini maana anauzoefu na mambo ya madini.

Huyu jamaa yupo smart sana.

Anaweza kuleta mageuzi kwenye sekta ya madini nchini.

Karibuni kutoa hoja
Mie Nashauri awe WAZIRI MKUU kwani Ana PHD
 
Bila kumung'unya maneno, wakuu mimi naona Itakua vyema Dkt. Musukuma akiteuliwa kuwa waziri wa madini maana anauzoefu na mambo ya madini.

Huyu jamaa yupo smart sana.

Anaweza kuleta mageuzi kwenye sekta ya madini nchini.

Karibuni kutoa hoja
Mtafute akuoe.
Hii sio nchi ya chezo.
Unajua kazi za waziri?
Ama unadhani Ni kukurupuka na kusimamisha watumishi kazi, au unadhani Ni kuwarusha watumishi kichura na kufunga magetti (Ngwala)
 
Back
Top Bottom