Meneja Wa Makampuni JF-Expert Member Joined Jul 7, 2020 Posts 7,899 Reaction score 10,415 Dec 9, 2021 Thread starter #21 Mdudubitehunter said: Waziri lazima awe na degree angalau moja ya darasani Achana na huo udokta wake wa Mchongo Inshort ni kwamba Msukuma hajakidhi vigezo vya kuwa Waziri. Click to expand... 🤫🤫🤫🤫🤫🤫🤫🤫🤫🤫🤫
Mdudubitehunter said: Waziri lazima awe na degree angalau moja ya darasani Achana na huo udokta wake wa Mchongo Inshort ni kwamba Msukuma hajakidhi vigezo vya kuwa Waziri. Click to expand... 🤫🤫🤫🤫🤫🤫🤫🤫🤫🤫🤫
Lord OSAGYEFO JF-Expert Member Joined Feb 19, 2021 Posts 3,085 Reaction score 4,890 Dec 9, 2021 #22 Meneja Wa Makampuni said: Bila kumung'unya maneno, wakuu mimi naona Itakua vyema Dkt. Musukuma akiteuliwa kuwa waziri wa madini maana anauzoefu na mambo ya madini. Huyu jamaa yupo smart sana. Anaweza kuleta mageuzi kwenye sekta ya madini nchini. Karibuni kutoa hoja Click to expand... Mie Nashauri awe WAZIRI MKUU kwani Ana PHD
Meneja Wa Makampuni said: Bila kumung'unya maneno, wakuu mimi naona Itakua vyema Dkt. Musukuma akiteuliwa kuwa waziri wa madini maana anauzoefu na mambo ya madini. Huyu jamaa yupo smart sana. Anaweza kuleta mageuzi kwenye sekta ya madini nchini. Karibuni kutoa hoja Click to expand... Mie Nashauri awe WAZIRI MKUU kwani Ana PHD
D Deceiver JF-Expert Member Joined Apr 19, 2018 Posts 9,446 Reaction score 17,017 Dec 9, 2021 #23 Meneja Wa Makampuni said: Bila kumung'unya maneno, wakuu mimi naona Itakua vyema Dkt. Musukuma akiteuliwa kuwa waziri wa madini maana anauzoefu na mambo ya madini. Huyu jamaa yupo smart sana. Anaweza kuleta mageuzi kwenye sekta ya madini nchini. Karibuni kutoa hoja Click to expand... Mtafute akuoe. Hii sio nchi ya chezo. Unajua kazi za waziri? Ama unadhani Ni kukurupuka na kusimamisha watumishi kazi, au unadhani Ni kuwarusha watumishi kichura na kufunga magetti (Ngwala)
Meneja Wa Makampuni said: Bila kumung'unya maneno, wakuu mimi naona Itakua vyema Dkt. Musukuma akiteuliwa kuwa waziri wa madini maana anauzoefu na mambo ya madini. Huyu jamaa yupo smart sana. Anaweza kuleta mageuzi kwenye sekta ya madini nchini. Karibuni kutoa hoja Click to expand... Mtafute akuoe. Hii sio nchi ya chezo. Unajua kazi za waziri? Ama unadhani Ni kukurupuka na kusimamisha watumishi kazi, au unadhani Ni kuwarusha watumishi kichura na kufunga magetti (Ngwala)