1kush africa
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 9,552
- 13,090
hahahahahahaha tell themTatizo lako unasahau kama WCB imejiimarisha kitaasisi sio mtu mmoja,ukishindwa kutumia kichwa kuona mambo basi tumia hata makalio alokupa mungu bure kuwazua mambo...shwain
SUGU[emoji91]CHINIStupid hiyo tasis yenu mgeweza
Kupanua bhas na mtazd kupanua
Makalio yenu ilimushimdane na
Clouds watoto wa juz mnawashwa
matako CBR tutwakuna vzr
umekalili ivo,, uyo ruby si katokea THT?Ndugu yangu huo mfano tu elewa content ya nilichosema!af nikwambie kitu hakuna msanii ataweza kuizid nguvu ya media!!nikichomaanisha watu hutoa sapport mwanzon tu mwa movement lkn kmhuishia katikati leo unaona watu wanaponda clouds lkn kutwa wako kuisikikiza kuiangusha clouds ni jambo zito co kma mnavofikiria
Kwenye vita usitengemee marafiki zako watakuwa upande wakoUsifananishe brand ya Mosha na brand wa WCB kumbuka robo 3 ya watanzania ambao wengi wao ni wanawake,watoto,na vijana ni mashabiki kindakindaki wa WCB....
Kwani mose kugombana na Shilawadu unaua urafiki wa Dai na claus! Hata kama sallam alingilia kati kulikua hakuna haja ya Dai ku leta beef. Putting in mind sallam ana uswahili alafu huyu mwengine ana Masters ya street management, wanataka kumwangusha kijana wao. Sio kwamba anabebwa na Media lashaha lakini leo hii hawako sawa na EATV sasa ni clouds then itafuata nyingine. Anaelekea wapi kama celebrity? Atakumbuka ushauri wa Eric ShingongoHili bifu la clouds fm na WCB kiasi fulani linanishangaza
na linanipa maswali kibao......
But nakumbuka jinsi TID enzi zake anajiita 'TOP IN DAR'
alivyowavimbia clouds hadi siku ile anaitisha press na kuwaomba msamaha...
wengi kwa kweli hatukuamini na hatukuelewa hasa anaomba msamaha kwa kosa
gani? na hata alipoulizwa why unaomba msamaha alishindwa kujibu..
Kwa sasa mashabiki wa Diamond wanasema clouds si lolote si chochote
WCB ni kubwa kuliko CLOUDS......sasa najiuliza tu je huu mpambano nani atashindwa?
je 'wataalam ' wa fitna safari hii wamekutana uso kwa uso?
na siku ikitokea Diamond au meneja wake yeyote anawaomba msamaha clouds...
itakuaje?...
Binafsi nna maswali kibao....
1.ugomvi huu hasa chanzo ni nini?
2.Mkubwa Fella yuko upande upi?
3.tv ya WCB ni yao wao au wana sponsor? sponsor wao ni nani?
4.Ruge na Salaam wana bifuu lingine la personal?
5.mikataba ya Diamond kwenye karanga na perfume itakuwa canceled ?
6.victims wa beef hili watachagua upande?...
WCB wakiweza hili beef kuibuka washindi naona ndo itakua mwanzo wa mwisho wa clouds
kuwa na nguvu hii kwenye industry but je wataweza?
au na wao wataishia kama TID na Ruby kuja kuomba msamaha?
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] nakuona B12
Kama na wewe una tatizo la macho kama mimi kana kwamba ukiona kivuli cha picha ya Don Carleon kinakufanya ukifananishe na cha Joseph kusaga basi jibu utalipata kirahisi hii vita itaishaje
Na nadhan utakuwa sahihi
Unaweza kutupatia methodology uliyotumia kupata hizi findings?Usifananishe brand ya Mosha na brand wa WCB kumbuka robo 3 ya watanzania ambao wengi wao ni wanawake,watoto,na vijana ni mashabiki kindakindaki wa WCB....
Hivi unajua gharama ya msanii kufanya kazi na mtu kama rick rossDimond hana Uwezo wa kufungua Radio na TV,kuna watu wapo nyuma,achaneni na maisha ya instagram na facebook ya wasanii,maisha ya uhalisia ni tofauti na instagram,awamu ya 4 dimond alikuwa anatumia migongo ya kina rizmoko kufanya dili zake za "SNOW",Dimond mziki haumlipi hata kidogo,Show anazofanya wakati ana kundi la watu 20 wote hiyo hiyo hela ya show zinatosha? Hata akipiga show kwa 20m,mtagawana vipi? Fela,Tale,Mwarabu koko salamu,Dancers,Walinzi etc
Kwasasa wanajipendekeza kwa BASHITE awape madili haramu kama enzi za awamu ya nne,endorsements za dimond za kuhesabu ambazo haziwezi kumlipa mpaka kununua nyumba instagram iliyopo S.A,mtu mwenye hela hawezi kuishi kwenye kiwanja cha 25 kwa 25 madale,ilitakiwa awe na 140m kwa 140m ESTATE na si viwanja ukijenga hata Gari mbili ndani haziingii.
Wasanii maisha yao yote ni maigizo tu.
E Fm ulitaka watoboaje kwa mfano.E FM wenyewe wanaonekana kushindwa, walekua ktk game 2016 2017 lkn hadi kufikia Leo, naona bado hawajatoboa tena hao wana TV wana radio, sembuse msanii wa kawaida!!!?
Lakin jiulize kwanin nao ant virus ilishindwa au baada ya sugu kuwasaliti wenzie kisa dili lake la mradi wa malaria kuwekwa sawaKila anayegombna na clouds huwa anapat sapport ya mashabiki siku za mwanzoni tu mfn mzur siku ruby alipoamua kutoa ya mayoni kuhusu clouds alipat maelfu ya comments yakimpa moyo huku yakiibeza clouds lkn mwisho wa siku karudi kuomba msamaha!!
Clouds kuiangusha mpaka pale wasanii wote watapoamua kusimama kidete lkn hii ya kusubir kila mtu apambane kivyake itawacost sana watu walioweza kidgo kuiyumbisha clouds ni ant virus tu hawa wengine bado sana coz ant virus ilipata sapport karibia vituo ving sana vya radio!!
Sugu alipatanishwa na Dr Nchimbi.Jide na Sugu mkuu naomba msiwe mnamsahau Sugu jaman
Sugu alipatanishwa na Nchimbi,Sugu hapana mkuu,Sugu kasanda,ugomvi wao uliisha kwa kigezo cha kusema Mbowe alikutana na Ruge hili waweze kupata mwafaka...SUGU kashamaliza ugomvi na Ruge.
Kwahiyo faida zinapataje au ndiyo wanaendesha kwa hasara tuKuna Tv na radio nyingi mno hazipati faida TZ..na zina pesa
mfano TV ya David Mosha....haina hata watazamaji licha ya mtaji mkubwa
ASTV..
Nakubaliana na wewe asilimia zote kiongozi wangu...Sugu alipatanishwa na Dr Nchimbi.
Jide hajapatanishwa na mtu hope anakwenda vizur.
Sugu alipondwa sana 2010 kwenye kampeni ila alikaza na akashinda hapo ndo IKAWA AMESHINE ZAIDI,na CMG walishaona image yao inapotea kwa sababu SUGU alikuwa akiwaponda sana kwenye bunge ndio maana wakakaa chini wakayamaliza.
So Jide na Sugu ndo waliweza kufanya kilichopaswa kufanywa
Istoshe ETV sasa hv Wapo vizuri zaidi ya Clouds tvE Fm ulitaka watoboaje kwa mfano.
Redio ambayo imeanza 2016 leo inasikika mikoa 10 masafa ya Fm na inasikika dunia nzima kwenye mtandao na inasikika nch nzima kwenye madish ya azam.
Aisee nani alianza ndani ya mwaka akasambaa mikoa 10?
Wamejitahidi sana