Itakuaje siku Diamond akiwaomba radhi clouds TV?

Itakuaje siku Diamond akiwaomba radhi clouds TV?

Ndugu yangu huo mfano tu elewa content ya nilichosema!af nikwambie kitu hakuna msanii ataweza kuizid nguvu ya media!!nikichomaanisha watu hutoa sapport mwanzon tu mwa movement lkn kmhuishia katikati leo unaona watu wanaponda clouds lkn kutwa wako kuisikikiza kuiangusha clouds ni jambo zito co kma mnavofikiria
umekalili ivo,, uyo ruby si katokea THT?

Hawezi furukuta hapo, wamemkuza wenyewe,,

lakini Diamond ni [emoji91]
 
Usifananishe brand ya Mosha na brand wa WCB kumbuka robo 3 ya watanzania ambao wengi wao ni wanawake,watoto,na vijana ni mashabiki kindakindaki wa WCB....
Kwenye vita usitengemee marafiki zako watakuwa upande wako

Mashabiki wa Ally Kiba watakuwa upande wa clouds

Hakuna media au msanii atakae weza kuiangusha clouds hata waje cnn, foxnews clouds itaendelea kuwepo na bongo sasa hvi hamna media inayo weza kuipa changamoto clouds ni ukweli ambao wengi hatu taki kuusikia...

Ipp media ndiyo walio kuwa wapambane na clouds lakini tulisha wazika.

E media nao wapo Intensive Care Unit..
 
Hili bifu la clouds fm na WCB kiasi fulani linanishangaza
na linanipa maswali kibao......

But nakumbuka jinsi TID enzi zake anajiita 'TOP IN DAR'
alivyowavimbia clouds hadi siku ile anaitisha press na kuwaomba msamaha...
wengi kwa kweli hatukuamini na hatukuelewa hasa anaomba msamaha kwa kosa
gani? na hata alipoulizwa why unaomba msamaha alishindwa kujibu..

Kwa sasa mashabiki wa Diamond wanasema clouds si lolote si chochote
WCB ni kubwa kuliko CLOUDS......sasa najiuliza tu je huu mpambano nani atashindwa?
je 'wataalam ' wa fitna safari hii wamekutana uso kwa uso?
na siku ikitokea Diamond au meneja wake yeyote anawaomba msamaha clouds...
itakuaje?...

Binafsi nna maswali kibao....
1.ugomvi huu hasa chanzo ni nini?
2.Mkubwa Fella yuko upande upi?
3.tv ya WCB ni yao wao au wana sponsor? sponsor wao ni nani?
4.Ruge na Salaam wana bifuu lingine la personal?
5.mikataba ya Diamond kwenye karanga na perfume itakuwa canceled ?
6.victims wa beef hili watachagua upande?...

WCB wakiweza hili beef kuibuka washindi naona ndo itakua mwanzo wa mwisho wa clouds
kuwa na nguvu hii kwenye industry but je wataweza?

au na wao wataishia kama TID na Ruby kuja kuomba msamaha?
Kwani mose kugombana na Shilawadu unaua urafiki wa Dai na claus! Hata kama sallam alingilia kati kulikua hakuna haja ya Dai ku leta beef. Putting in mind sallam ana uswahili alafu huyu mwengine ana Masters ya street management, wanataka kumwangusha kijana wao. Sio kwamba anabebwa na Media lashaha lakini leo hii hawako sawa na EATV sasa ni clouds then itafuata nyingine. Anaelekea wapi kama celebrity? Atakumbuka ushauri wa Eric Shingongo
 
0bfa5cd94ba0d874872ee778d3e622c9.jpg
20af85a0e461f4a1d5cf3d74fdc5e8f3.jpg


Kama na wewe una tatizo la macho kama mimi kana kwamba ukiona kivuli cha picha ya Don Carleon kinakufanya ukifananishe na cha Joseph kusaga basi jibu utalipata kirahisi hii vita itaishaje

Na nadhan utakuwa sahihi
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] nakuona B12
 
Usifananishe brand ya Mosha na brand wa WCB kumbuka robo 3 ya watanzania ambao wengi wao ni wanawake,watoto,na vijana ni mashabiki kindakindaki wa WCB....
Unaweza kutupatia methodology uliyotumia kupata hizi findings?
 
Kwani diamond kakosa nn kamtukana au kumjibu mtu sk na iyobo ndio wameleta vurugu kinyesi apakwe mondi its unfair
 
Dimond hana Uwezo wa kufungua Radio na TV,kuna watu wapo nyuma,achaneni na maisha ya instagram na facebook ya wasanii,maisha ya uhalisia ni tofauti na instagram,awamu ya 4 dimond alikuwa anatumia migongo ya kina rizmoko kufanya dili zake za "SNOW",Dimond mziki haumlipi hata kidogo,Show anazofanya wakati ana kundi la watu 20 wote hiyo hiyo hela ya show zinatosha? Hata akipiga show kwa 20m,mtagawana vipi? Fela,Tale,Mwarabu koko salamu,Dancers,Walinzi etc

Kwasasa wanajipendekeza kwa BASHITE awape madili haramu kama enzi za awamu ya nne,endorsements za dimond za kuhesabu ambazo haziwezi kumlipa mpaka kununua nyumba instagram iliyopo S.A,mtu mwenye hela hawezi kuishi kwenye kiwanja cha 25 kwa 25 madale,ilitakiwa awe na 140m kwa 140m ESTATE na si viwanja ukijenga hata Gari mbili ndani haziingii.

Wasanii maisha yao yote ni maigizo tu.
Hivi unajua gharama ya msanii kufanya kazi na mtu kama rick ross
 
E FM wenyewe wanaonekana kushindwa, walekua ktk game 2016 2017 lkn hadi kufikia Leo, naona bado hawajatoboa tena hao wana TV wana radio, sembuse msanii wa kawaida!!!?
E Fm ulitaka watoboaje kwa mfano.
Redio ambayo imeanza 2016 leo inasikika mikoa 10 masafa ya Fm na inasikika dunia nzima kwenye mtandao na inasikika nch nzima kwenye madish ya azam.
Aisee nani alianza ndani ya mwaka akasambaa mikoa 10?
Wamejitahidi sana
 
Kila anayegombna na clouds huwa anapat sapport ya mashabiki siku za mwanzoni tu mfn mzur siku ruby alipoamua kutoa ya mayoni kuhusu clouds alipat maelfu ya comments yakimpa moyo huku yakiibeza clouds lkn mwisho wa siku karudi kuomba msamaha!!
Clouds kuiangusha mpaka pale wasanii wote watapoamua kusimama kidete lkn hii ya kusubir kila mtu apambane kivyake itawacost sana watu walioweza kidgo kuiyumbisha clouds ni ant virus tu hawa wengine bado sana coz ant virus ilipata sapport karibia vituo ving sana vya radio!!
Lakin jiulize kwanin nao ant virus ilishindwa au baada ya sugu kuwasaliti wenzie kisa dili lake la mradi wa malaria kuwekwa sawa
 
Jide na Sugu mkuu naomba msiwe mnamsahau Sugu jaman
Sugu alipatanishwa na Dr Nchimbi.
Jide hajapatanishwa na mtu hope anakwenda vizur.
Sugu alipondwa sana 2010 kwenye kampeni ila alikaza na akashinda hapo ndo IKAWA AMESHINE ZAIDI,na CMG walishaona image yao inapotea kwa sababu SUGU alikuwa akiwaponda sana kwenye bunge ndio maana wakakaa chini wakayamaliza.
So Jide na Sugu ndo waliweza kufanya kilichopaswa kufanywa
 
Sugu hapana mkuu,Sugu kasanda,ugomvi wao uliisha kwa kigezo cha kusema Mbowe alikutana na Ruge hili waweze kupata mwafaka...SUGU kashamaliza ugomvi na Ruge.
Sugu alipatanishwa na Nchimbi,
Sasa unaweza kusema kasanda alisandaje kwa mfano?Clouds walikuwa wakimponda kwenye kampeni za 2010 kapita,haya 2015 ndo kaongoza kwa kura and he's still moving,sasa huyo amesanda kweli?
 
Sugu alipatanishwa na Dr Nchimbi.
Jide hajapatanishwa na mtu hope anakwenda vizur.
Sugu alipondwa sana 2010 kwenye kampeni ila alikaza na akashinda hapo ndo IKAWA AMESHINE ZAIDI,na CMG walishaona image yao inapotea kwa sababu SUGU alikuwa akiwaponda sana kwenye bunge ndio maana wakakaa chini wakayamaliza.
So Jide na Sugu ndo waliweza kufanya kilichopaswa kufanywa
Nakubaliana na wewe asilimia zote kiongozi wangu...
 
  • Thanks
Reactions: SDG
E Fm ulitaka watoboaje kwa mfano.
Redio ambayo imeanza 2016 leo inasikika mikoa 10 masafa ya Fm na inasikika dunia nzima kwenye mtandao na inasikika nch nzima kwenye madish ya azam.
Aisee nani alianza ndani ya mwaka akasambaa mikoa 10?
Wamejitahidi sana
Istoshe ETV sasa hv Wapo vizuri zaidi ya Clouds tv
 
Back
Top Bottom