Itakusaidia kidogo

Itakusaidia kidogo

Kuhusu mboga za majani nakubaliana na wewe,babu aliniambia haitakiwi siku ipite bila kula aina 7 za mboga za majani na aina 7 ya matunda,mwanzo ilikuwa ngumu sana baadae nikaja kuzoea haipiti siku bila kufanya hivyo matokeo yake
1-huu ni mwaka 14 sijawahi kuumwa hata kichwa
2-sijawahi kutamani soda wala nyama
3-sijawahi kupaka mwili mafuta ngozi haikauki wala kupauka
4-mwili upo timamu sana
5-kwa siku napata choo mara 3
 
Sawa
Tuambiane hayo matunda aina 7 unayapata wap kwa siku moja.? Hio ya kuamka asubhi wakati ndege wanàamka ndio waislam wao walishaijua zaman sana.wao wanaamka kabla nafikir hata ya ndege.na halal tena
 
Tozo haikukuumiza kichwa kweli?😄
 
Sawa
Tuambiane hayo matunda aina 7 unayapata wap kwa siku moja.? Hio ya kuamka asubhi wakati ndege wanàamka ndio waislam wao walishaijua zaman sana.wao wanaamka kabla nafikir hata ya ndege.na halal tena
Matunda yamejaa masokoni siku hizi matunda yanapatikana kipindi chote cha mwaka
 
Asante mkuu kwa kunipanua akili [emoji1491][emoji1491]
 
Kuhusu mboga za majani nakubaliana na wewe,babu aliniambia haitakiwi siku ipite bila kula aina 7 za mboga za majani na aina 7 ya matunda,mwanzo ilikuwa ngumu sana baadae nikaja kuzoea haipiti siku bila kufanya hivyo matokeo yake
1-huu ni mwaka 14 sijawahi kuumwa hata kichwa
2-sijawahi kutamani soda wala nyama
3-sijawahi kupaka mwili mafuta ngozi haikauki wala kupauka
4-mwili upo timamu sana
5-kwa siku napata choo mara 3
Mwili wako hauja balance bado, unatakiwa upate choo mara 7 kwa siku
 
Back
Top Bottom