Itakusaidia kidogo

Itakusaidia kidogo

Kuhusu mboga za majani nakubaliana na wewe,babu aliniambia haitakiwi siku ipite bila kula aina 7 za mboga za majani na aina 7 ya matunda,mwanzo ilikuwa ngumu sana baadae nikaja kuzoea haipiti siku bila kufanya hivyo matokeo yake
1-huu ni mwaka 14 sijawahi kuumwa hata kichwa
2-sijawahi kutamani soda wala nyama
3-sijawahi kupaka mwili mafuta ngozi haikauki wala kupauka
4-mwili upo timamu sana
5-kwa siku napata choo mara 3
Gonga mbususu 7 tofautitofauti kila siku
 
Back
Top Bottom