Kiranja Mkuu
JF-Expert Member
- Feb 18, 2010
- 4,219
- 4,608
Gonga mbususu 7 tofautitofauti kila sikuKuhusu mboga za majani nakubaliana na wewe,babu aliniambia haitakiwi siku ipite bila kula aina 7 za mboga za majani na aina 7 ya matunda,mwanzo ilikuwa ngumu sana baadae nikaja kuzoea haipiti siku bila kufanya hivyo matokeo yake
1-huu ni mwaka 14 sijawahi kuumwa hata kichwa
2-sijawahi kutamani soda wala nyama
3-sijawahi kupaka mwili mafuta ngozi haikauki wala kupauka
4-mwili upo timamu sana
5-kwa siku napata choo mara 3