Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
TCRA wanao uwezo wa kufungia Twitter mkuu, hayo mengine uliyosema yanahitaji utafiti.Si jambo rahisi kufunga tu twitter na mitandao mingine.
Ni suala la kiufundi sana na siwezi kulizungumzia kwa undani kutokana na umuhimu wake mkubwa kwa taifa.
Ila inawezekana, na hao China na nchi zingine kadhaa zimeweza kutofunga bali kwa kutumia njia ya kuwadhibiti watoa huduma za internet yaani ISPs na wale wa binafsi kama wa VPN.
Kinachotafutwa bu kuweka balance kati ya masuala ya kueneza sumu mitandaoni na nia njema ya watumiaji wa mitandao hiyo.
Nakubali, ila si jambo rahisi tu kufunga mitandao.Tcra wanao uwezo wa kufungia Twitter mkuu, hayo mengine uliyosema yanahitaji utafiti.
Kumbe Mange alikuwa akiwanaga kupitia wapi kama sio Insta.Insta? Facebook wanacensorship ya hali ya juu hasa uchochezi hawataki kabisa.
Acha kupost upuuzi wako we dada.
Ila Tutasoma Tu Habari, Tutalipa Hamna ShidaVpn mnaliwa sana hamjijui tu wengi ni matapeli tu. Ndio maana matangazo kibao huku mnakamuliwa.
[emoji23][emoji23][emoji23]Nilipojiunga hapa JamiiForums nilikuambia Wewe na 'Wapuuzi' Wenzako wote kuwa Mimi GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE ni Mfuasi wa CHADEMA?
Fungeni tu si mlishajaribu na mkaona mafanikio yake. Tena yalikuwa ya kisayansi zaidi.Tcra wanao uwezo wa kufungia Twitter mkuu, hayo mengine uliyosema yanahitaji utafiti.
Mimi nimeamua kuisema kweli nayo imeniweka huru sasa ni yeye kujipima mwenyewe.[emoji23][emoji23][emoji23]
Hajui kuwa wewe ni mwenzetu pale LUMUMBA ila huwa uko invisible...unaitwa katika kuchakata habari za THINK TANK tu, hebu amuulize PETRO MAGOTI kama hakufahamu.
ITAKUWA hata Mtunduizi El Commandante Kichwa Mashine mh.Patrobass P. Katambi amezisikia vyema HABARI zako kule SAUT ALUMNI.
Wewe DAWA KALI YA KUUA VIJIDUDU vya bakteria uko ndani ya PARTY CAUCUSES.
Siempre Siempre
Hasta la Victoria
Najua nawe kwako MAENDELEO HAYANA VYAMA.
Hata hapa JF ukweli unasemwa na watu wana upeo sana. Umesahau bado JF wana viporo vya kesi mahakamani sababu ya 'mawe' kwa serikali?Acha ujinga kule watu wana elimu na wanausema ukweli
Wewe nafikiri unawashwa huko chini, Jf hata Police kitengo cha Cybercrimes wanafanya nao kazi ndio waje waifunge? Hujasikia wanasifiwa kwa kuweka moderators. Unatype huku unajikuna?
Lingekuwa jambo la mbolea kama hao polisi wangekuwa wako huko TCRA kuishughulikia hiyo Twitter.Loooh mkuu umeamua kumuingia "maungoni" dada yetu huyu wa SINZA MORI...😂😂😂
Kumbeee hata POLICE wamo humu JF...wanachakata vya kupost na vya kudustbin?!!
Ahsante kwa KUTUJUZA...
Mkuu umenikumbusha IMANI kuu. Hakika KWELI HUTUWEKA HURU. FITINA KWETU MWIKO.Mimi nimeamua kuisema kweli nayo imeniweka huru sasa ni yeye kujipima mwenyewe.
Watu kama hawa sio wa kuwaendekeza.
Duh, kuna watu mnafikiriaUngewashauri waanze kuifungia NEC kwanza
Kumbeee eeee?!!Lingekuwa jambo la mbolea kama hao polisi wangeuwa wako huko TCRA kuishughulikia hiyo Twitter.
Tatizo bado hatujawa vema kwenye teknolojia.
Vinginevyo suala la kuidhibiti hiyo mitandao ni suala jepesi sana.
Kumbeee eeee?!!
Sasa Irugunde anasema hapa JF wako "mamwera" was cybercrimes...ndio wakose kuwepo TCRA?!!?
Inawezekana kweli MTUNDUIZI?