Itakuwa jambo jema na la busara kama Serikali ya Tanzania itaifungia Twitter

Itakuwa jambo jema na la busara kama Serikali ya Tanzania itaifungia Twitter

Mkuu umenikumbusha IMANI kuu....hakika KWELI HUTUWEKA HURU...FITINA KWETU MWIKO...

Nakuongezea na zile kubwa 3:

1.Binadamu wote ni Sawa.

2.Kila mtu anastahili heshima ya kutambuliwa na kuthaminiwa utu wake.

3.Ujamaa na kujitegemea ndiyo njia sahihi ya KUJENGA JAMII ILIYO SAWA NA HURU.

Mkuu mnaweza kuongea MAUDHUI yafananayo kwa different APPROACHES(party CAUCUSES).

Hicho chama kina watu wengi mnoo tena mnooo....

Wengine ukiambiwa UTAKATAA na kuwaita kuwa ni TLP [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ha ha ha ha ha
Pamoja sana dhima kuu ni kuona Watanzania wanapata MAENDELEO na hili wala halina shaka kabisa tupo katika mikono salama maana miaka 10 ya Magufuli itaishi kizazi hadi kizazi na ninafikiri generation zijazo zitamuenzi vizuri kuliko hata sisi tunavyomuenzi.
 
Message sent hapa kilichobakia ni porojo zako tuu za kuonesha kichwani ulivyo na nzi.
Mulokozi jr12 samahani Mkuu wangu...

Umefikisha miaka 35?!!

Nafsi yako ishuhudie....eti CCM umeingia lini?!!!

Toka enzi za Mkapa?
Toka enzi za Kikwete?
Zile za ulipo TUPO?

Ama hizi za juzi za El commandante JPM kushika HATAMU?!!!

Nimekuuliza hivyo kwa kuwa kuna VIJANA Wenzangu fulani hii CCM yetu IMEWAINGIA VYEMA katika SINOATRIAL NODE ya MOYO kipindi hiki cha JEMBE LETU JPM na si kile kipindi cha msemaji akiwa kaka yetu Kamarade Nape Nnnauye....
 
Message sent hapa kilichobakia ni porojo zako tuu za kuonesha kichwani ulivyo na nzi.
Nimeshastaafu 'Kuwabahashia' Watu kama Wewe hivyo endelea 'Kuwasaka' wengine tu tafadhali na usinilazimishe japo ninajua unanihitaji sana tu.
 
Kuwa JPM anatumia Twitter sio sababu ya kuruhusu upuuzi ,matusi, na upotoshaji wa watu wanaokaa ughaibuni. Aachane na Twitter kama ni salamu awe au jambo lolote atumie njia za kiofisi, Twitter sio official.
Acha kuwapangia wengine mitandao ya kutumia na badala Yake mpangie mkeo menyu ya kukuandalia kwa pesa kiduchu ulizompa! Dunia inatakiwa iwasiliane na kila mwenye kuhitaji mawasiliano kwa haraka wewe ni Nani Hadi ushauri tusiwasiliane? Au kwa kuwa ccm a policcm na tumeccm imeumbuliwa ndio unaumia? Na bado mjomba!
 
Mulokozi jr12 samahani Mkuu wangu...

Umefikisha miaka 35?!!

Nafsi yako ishuhudie....eti CCM umeingia lini?!!!

Toka enzi za Mkapa?
Toka enzi za Kikwete?
Zile za ulipo TUPO?

Ama hizi za juzi za El commandante JPM kushika HATAMU?!!!

Nimekuuliza hivyo kwa kuwa kuna VIJANA Wenzangu fulani hii CCM yetu IMEWAINGIA VYEMA katika SINOATRIAL NODE ya MOYO kipindi hiki cha JEMBE LETU JPM na si kile kipindi cha msemaji akiwa kaka yetu Kamarade Nape Nnnauye....
Umri sitokujibu.

Kuhusu kuwa mwanachama wa CCM lini?

Kwa bahati mbaya sana mimi sio mwanachama wa chama chochote na hii ni kulingana na ethics za kazi ambayo nilikuwa nikifanya haikutaka kuwa mwanachama wa chama chochote cha SIASA ila ni muumini mzuri wa siasa za uhuru na kujitegemea, NCHI ITAJENGWA NA WANANCHI WENYEWE HAKUNA MJOMBA ATAKAYETULETEA MAENDELEO KUTOKA NJE YA NCHI HII.

Ila kwakweli nikiri kwamba huyu Mwenyekiti wa sasa wa CCM ni visionary na ni vigumu mtu asiyeitazama kesho. Naweza kusema CCM chini ya uongozi wa Magufuli ndio ambayo imeniimpress sana.

Sijui kama nitakuwa nimekujibu vizuri.

ASANTE
 
Nimeshastaafu 'Kuwabahashia' Watu kama Wewe hivyo endelea 'Kuwasaka' wengine tu tafadhali na usinilazimishe japo ninajua unanihitaji sana tu.
Acha nisimkimbize chizi tusijetukaonekana wote tupo at the same lane.
 
Unadhani upepo ukibadilika hawataifunga na JF kama wameweza kuifunga Twitter? wee tunapigania uhuru wa habari wewe unaleta mawazo yako ya kijima hapa, potea
Jf haiwezi kufungiwa nakuambia wanatumia akili sana kudhibiti wapumbavu na wajinga
 
Ku deal na binadamu ni jambo linalohitaji busara zaidi kuliko hisia na kukurupuka au woga. Ukifungia Twitter watakuja na kitu kingine tu, ni bora uji brace kukubaliana na critics na ukweli.
 
Mkuu....

Kuna kazi inayozuia MTU asiwe mwanachama wa CCM?!!!

Mkuu acha banaa.....

Kwani mwanachama mpaka UVAE NGUO ZETU ZA KIJANI,UGOMBEE na kushiriki VIKAO VYA CHAMA upenuni?!!!

Unataka uniambie Kanali Ngemera Lubinga Si mwanaCCM?!!!
Unataka uniambie J5 mh.akiteua maDC na MaRC hatowachukua kutoka JESHINI na majeshini(kwa mfano)?!!
Yaani MTU ateuliwe kutoka JWTZ awe DC halafu asiwe mwanaCCM ilihali anaingia Katika vikao vya chama kama mjumbe wa kamati ya siasa ya WILAYA?!!

Ok Mkuu wangu kubwa nimekuelewa kuwa wewe HUKUWA NA CHAMA na Ni hii CCM ya mh.Magufuli ndiyo PEKEE iliyokushawishi KUKIPENDA CHAMA CHETU...hongera Sana Mkuu ninaamini UMESHAKATA KADI ama Kama bado basi ni mtu PATRIOTIC unayemkubali sanaaa mh.El commandante JPM

KUDOS

Umri sitokujibu.

Kuhusu kuwa mwanachama wa CCM lini?

Kwa bahati mbaya sana mimi sio mwanachama wa chama chochote na hii ni kulingana na ethics za kazi ambayo nilikuwa nikifanya haikutaka kuwa mwanachama wa chama chochote cha SIASA ila ni muumini mzuri wa siasa za uhuru na kujitegemea, NCHI ITAJENGWA NA WANANCHI WENYEWE HAKUNA MJOMBA ATAKAYETULETEA MAENDELEO KUTOKA NJE YA NCHI HII.

Ila kwakweli nikiri kwamba huyu Mwenyekiti wa sasa wa CCM ni visionary na ni vigumu mtu asiyeitazama kesho. Naweza kusema CCM chini ya uongozi wa Magufuli ndio ambayo imeniimpress sana.

Sijui kama nitakuwa nimekujibu vizuri.

ASANTE
 
Ku deal na binadamu ni jambo linalohitaji busara zaidi kuliko hisia na kukurupuka au woga. Ukifungia Twitter watakuja na kitu kingine tu, ni bora uji brace kukubaliana na critics na ukweli.
Tatizo sio kukosolewa bali upotoshaji na uongo unaosababisha mkanganyiko kwa wananchi. Ubaya zaidi mtu yupo Finland anatengeneza video ya uongo kuwakanganya watanzania.
 
Serikali ya awamu ya 5 imepoteza uhalali wa kuiongoza nchi. Haijachaguliwa kihalali. Ndiyo Serikali ya kwanza itayotinga ICC tangu tupate Uhuru. Kwanini isikolewe mitandaoni?

Hata wakifunga mitandao yote, bado teknolojia itawapa fursa wenye uchungu kutumia VPN na mawasiliano yataendelea kama kawaida. Be broad minded please. Acha ujinga zama hizi.
Icc ya ufipa? Vpn zinaweze kugongwa nyundo mpaka ukashangaa. Uliza kwa nini Usa wana mgogoro na Huawei? Hivi Huwaei ni wachina? Hivi wanaurafiki wa karibu na Tanzania?
 
Back
Top Bottom