Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
- Thread starter
-
- #121
Maendeleo ya Mbowe kivipi? Kwani bila CHADEMA Lissu angepata ubunge? Si alikuwa huko nccr Mageuzi? Mbona alishindwa kupata ubunge akiwa huko mpaka alipokuja kupambaniwa na Mbowe? Si ni Mbowe huyo huyo Mwamba aliyemhangaikia Lissu kupata usafiri wa ndege kwenda Nchini Kenya kupata matibabu.Haya sawa. Basi badilisheni hata jina la chadema, kiitwe CHAMAMBO (CHAma cha MAendeleo ya MBOwe).
Na wewe una familia?😀😀 Sasa wanaishi vipi na wewe? Kwani hawaoni kuwa una tatizo kichwani mwako?Mjinga wewe, familia angu nani ataitunza?
Kuongoza chama kama CHADEMA siyo sawa na kugombea Urais.Kwani wangapi wanagombea urais huko vyama vya upinzani ? Sifa za kugombea urais unazifahamu?Mgombea uraisi leo hana sifa ya kuiongoza chadema
https://www.facebook.com/i hivi Lissu Hana busara, hana hekima, hana subira, hana uvumilivu, hana kifua cha uongozi, hawezi kuwa mtu wa Mwisho pale pasipo kuwa na mtu juu yake wa kumuongoza Njia. Lissu hajakomaa kiuongozi kushika nafasi hiyo nyeti kwa chama kikuu cha upinzani kinachomhitaji mtu makini, mvumilivu na mtulivu aina ya Mwamba Mbowe.
Hakuna mwenye akili Timamu anayeweza kumpa kura Lissu ya kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA.Lisu ndio chaguo la wengi wataka mabadiliko ya kweli
UWT hana nia njema namfahamuKwanini unamtukana mtu anayekusaidia kampeni za Mwenyekiti wako?
Shetani weweNa wewe una familia?😀😀 Sasa wanaishi vipi na wewe? Kwani hawaoni kuwa una tatizo kichwani mwako?
Hakuna mwenye akili Timamu anayeweza kumpa kura Lissu ya kuwa Mwenyekiti wa CHADEMALisu ndio chaguo la wengi wataka mabadiliko ya kweli
Mbowe ni CCM mwenzao wanafahamianaUWT hana nia njema namfahamu
UWT upendo umeanza lini kwa Mbowe?Mbowe ni CCM mwenzetu tunamfahamu
Watanzania walimkataa kwa kishindo kuwa hafai na hawezi kuwaongoza kama Rais wao.ndio Maana walimnyima kura za ndio akaishia kujificha kwenye balozi za kigeniSiyo kuongoza Chadema tu Lissu ana uwezo hata wa kuongoza Tanzania. Wewe unayeishi kwa matumaini ya kuteuliwa ndiyo ujilinganishe na Lissu?
Acha uzushi wako hapa wewe.Mbowe ni CCM mwenzao wanafahamiana
Ni CCM tulimpa 150m ampelekee Askofu Shoo Umesahau?UWT upendo umeanza lini kwa Mbowe?
Akubali chaguzi huru tuone usiwe kama huu wa mitaa wa mawakala kuchinjwaRais Samia ndio chaguo la mamilioni ya watanzania ambao wengine mpaka sasa wameshachangia Mamilioni ya pesa kwa ajili ya kumuwezesha kuchukua Fomu ya Urais. Na ndani ya CCM Fomu ya Urais ni Moja tu kwa ajili ya Mama yetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan
Ukweli gani wakati mnatamani CHADEMA IFE ndiyo mmpumue?Tunawapeni ukweli tu.
Hata ije Tume ya uchaguzi kutoka Marekani bado Rais Samia na CCM itapita na kushinda kwa kishindo kikuu kitakacho itetemesha Dunia nzima.Akubali chaguzi huru tuone usiwe kama huu wa mitaa wa mawakala kuchinjwa
Kama siyo Mwamba ingekuwa imekufa kwa kukosa sera na ajenda zenye kugusa Maisha ya watu.ipo kwa sababu ya uwepo wa Mwamba kwenye kiti cha uwenyeviti ambaye muda na wakati wote ametanguliza mbele maslahi ya chama kuliko maslahi yake binafsiUkweli gani wakati mnatamani CHADEMA IFE ndiyo mmpumue?