Pre GE2025 Itakuwa ni uwendawazimu mkubwa kwa CHADEMA kumpa Lissu uenyekiti na kumuacha mwamba Mbowe

Pre GE2025 Itakuwa ni uwendawazimu mkubwa kwa CHADEMA kumpa Lissu uenyekiti na kumuacha mwamba Mbowe

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Haya sawa. Basi badilisheni hata jina la chadema, kiitwe CHAMAMBO (CHAma cha MAendeleo ya MBOwe).
Maendeleo ya Mbowe kivipi? Kwani bila CHADEMA Lissu angepata ubunge? Si alikuwa huko nccr Mageuzi? Mbona alishindwa kupata ubunge akiwa huko mpaka alipokuja kupambaniwa na Mbowe? Si ni Mbowe huyo huyo Mwamba aliyemhangaikia Lissu kupata usafiri wa ndege kwenda Nchini Kenya kupata matibabu.
 
Siyo kuongoza Chadema tu Lissu ana uwezo hata wa kuongoza Tanzania. Wewe unayeishi kwa matumaini ya kuteuliwa ndiyo ujilinganishe na Lissu?
Watanzania walimkataa kwa kishindo kuwa hafai na hawezi kuwaongoza kama Rais wao.ndio Maana walimnyima kura za ndio akaishia kujificha kwenye balozi za kigeni
 
Rais Samia ndio chaguo la mamilioni ya watanzania ambao wengine mpaka sasa wameshachangia Mamilioni ya pesa kwa ajili ya kumuwezesha kuchukua Fomu ya Urais. Na ndani ya CCM Fomu ya Urais ni Moja tu kwa ajili ya Mama yetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan
Akubali chaguzi huru tuone usiwe kama huu wa mitaa wa mawakala kuchinjwa
 
Wana ccm mbona mnatetemeka hivyo kusikia lissu anagombea uenyekiti wa chadema? Si mlikuwa mnasema mbowe amekaa muda mrefu na hakuna demokrasia ndani ya chadema? Sasa mwamba lissu anagombea mnahangaika nini na siasa za chadema?
 
Akubali chaguzi huru tuone usiwe kama huu wa mitaa wa mawakala kuchinjwa
Hata ije Tume ya uchaguzi kutoka Marekani bado Rais Samia na CCM itapita na kushinda kwa kishindo kikuu kitakacho itetemesha Dunia nzima.
 
Ukweli gani wakati mnatamani CHADEMA IFE ndiyo mmpumue?
Kama siyo Mwamba ingekuwa imekufa kwa kukosa sera na ajenda zenye kugusa Maisha ya watu.ipo kwa sababu ya uwepo wa Mwamba kwenye kiti cha uwenyeviti ambaye muda na wakati wote ametanguliza mbele maslahi ya chama kuliko maslahi yake binafsi
 
Back
Top Bottom