Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
- Thread starter
- #121
Maendeleo ya Mbowe kivipi? Kwani bila CHADEMA Lissu angepata ubunge? Si alikuwa huko nccr Mageuzi? Mbona alishindwa kupata ubunge akiwa huko mpaka alipokuja kupambaniwa na Mbowe? Si ni Mbowe huyo huyo Mwamba aliyemhangaikia Lissu kupata usafiri wa ndege kwenda Nchini Kenya kupata matibabu.Haya sawa. Basi badilisheni hata jina la chadema, kiitwe CHAMAMBO (CHAma cha MAendeleo ya MBOwe).