Demokrasia chadema iko ktk nyanja zipi sasa kama kwenye kuchagua na kuchaguliwa haipo?Maendeleo ya Mbowe kivipi? Kwani bila CHADEMA Lissu angepata ubunge? Si alikuwa huko nccr Mageuzi? Mbona alishindwa kupata ubunge akiwa huko mpaka alipokuja kupambaniwa na Mbowe? Si ni Mbowe huyo huyo Mwamba aliyemhangaikia Lissu kupata usafiri wa ndege kwenda Nchini Kenya kupata matibabu.
Mwamba Mbowe amekuwepo madarakani kwa sababu ya kupendwa na kuungwa mkono na wana CHADEMA na siyo kwa kujiweka Mwenyewe madarakani.uchapakazi wake,kujitoa na kujitolea kwake ndio vimefanya aendelee kuaminika na kuungwa mkono na wana CHADEMA kutoka kila kandaWana ccm mbona mnatetemeka hivyo kusikia lissu anagombea uenyekiti wa chadema? Si mlikuwa mnasema mbowe amekaa muda mrefu na hakuna demokrasia ndani ya chadema? Sasa mwamba lissu anagombea mnahangaika nini na siasa za chadema?
Nyie UWT ni balaaNi CCM tulimpa 150m ampelekee Askofu Shoo Umesahau?
Kuandika tu kwenyewe kunakupa shida .sasa Sijuwi ni vipi utaweza kuelewa hoja nzito kama hili.Lissu hawezi kuongoza hata familia yake katika nyakati ngumu. Embu muulize Lissu familia yake ipo wapi kwa sasa?Mti wenye matunda hupigwa mawe ivi ww hadi jasho ,mate,mavi yanakutoka kisa lisu asigombee sasa atagombea na siku ya kuchukua form usipime
Ukweli Lisu ndio chaguo la wana chadema wote
Umebwata mengi sana kana kwamba ww ndie unafaa ,mudanganye mkeo kitandani sio sisi tumeisha amua
Unajua kubwata ,mbwa hubwata hata kama hana meno ila sifa ni kubwata huu ni ushindi na ww ni Ccm mumuzowea kuwekewa watu dhaifu safari
Ivi yote yakutoke bure hapana subiri siku ya form utajificha ndani
Hoja hupingwa kwa hoja na siyo Viroja.Daah mkuu kwa kuandika upo sawa sana sema unachoandika ni madudu matupu..
Ndio nakuambia ww msema kweli, cdm sio chama cha wachaga tena, je sio Saccos ya Mbowe tena? Je Mbowe sio king'ang'anizi wa madaraka tena?Mimi siyo bendera fuata upepo bali ni msema kweli Daima.
Umeelewa hoja iliyopo mezani kwa sasa?Ndio nakuambia ww msema kweli, cdm sio chama cha wachaga tena, je sio Saccos ya Mbowe tena? Je Mbowe sio king'ang'anizi wa madaraka tena?
Familia yake iko ulaya kwenye maisha bora na elimu ya uhakika, sio hizi elimu za kukariri habari za mkoloni.Kuandika tu kwenyewe kunakupa shida .sasa Sijuwi ni vipi utaweza kuelewa hoja nzito kama hili.Lissu hawezi kuongoza hata familia yake katika nyakati ngumu. Embu muulize Lissu familia yake ipo wapi kwa sasa?
Sielewi boss, najua tu ww ni bendera fuata upepo.Umeelewa hoja iliyopo mezani kwa sasa?
Ungeacha wenye akili Timamu na wanaojitambua wajadili hoja.wewe subiri hoja zenye kuendana na uwezo wako huo kisodaHivi Mwashambwa hajifahamu hata hali aliyo nayo!! Yaani hata Mwashambwa anaamini kuwa na uwezo wa kushauri!! Maajabu makubwa!!
we unajulikana mwana ccm kindakindaki, chawa mtukuka, iweje upige kambi chadema kuandika mapendekezo yako? Mbaya zaidi unamsigina lissu ambaye ni dhahiri shahiri mwamba huyu anaenda kuwa mwenyekiti mpya wa chademaMwamba Mbowe amekuwepo madarakani kwa sababu ya kupendwa na kuungwa mkono na wana CHADEMA na siyo kwa kujiweka Mwenyewe madarakani.uchapakazi wake,kujitoa na kujitolea kwake ndio vimefanya aendelee kuaminika na kuungwa mkono na wana CHADEMA kutoka kila kanda
Familia tu ameshindwa kukaa nayo na kuitunza .sasa Sijuwi ni vipi ataweza kuiongoza CHADEMA maana muda wowote ule anasanzuka zake Kwena ulaya kutumbua maisha.Familia yake iko ulaya kwenye maisha bora na elimu ya uhakika, sio hizi elimu za kukariri habari za mkoloni.
Kamwe na katu Lissu hawezi kuwa Mwenyekiti wa CHADEMAwe unajulikana mwana ccm kindakindaki, chawa mtukuka, iweje upige kambi chadema kuandika mapendekezo yako? Mbaya zaidi unamsigina lissu ambaye ni dhahiri shahiri mwamba huyu anaenda kuwa mwenyekiti mpya wa chadema
Unaogopa watu wenye uwezo wao upo radhi kumpigania asie na nguvu kisiasa..Hoja hupingwa kwa hoja na siyo Viroja.
Kwa hiyo na wewe kwa akili yako unaona Lissu anaweza kuiongoza CHADEMA? Lissu hawezi kuongoza CHADEMA hata kwa siku moja tu.Unaogopa watu wenye uwezo wao upo radhi kumpigania asie na nguvu kisiasa..
Acha ujinga dogoNyie UWT ni balaa
Chadema ni nini isiongozwe mkuu pana nini kinafanywa hapo Chadema mambo ya akili usiyazungumzie tuzungumzie hoja uliyoileta maana ukitaka tuchambue akili zetu anzisha uzi mwingine..Kwa hiyo na wewe kwa akili yako unaona Lissu anaweza kuiongoza CHADEMA? Lissu hawezi kuongoza CHADEMA hata kwa siku moja tu.