Pre GE2025 Itakuwa ni uwendawazimu mkubwa kwa CHADEMA kumpa Lissu uenyekiti na kumuacha mwamba Mbowe

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Maendeleo ya Mbowe kivipi? Kwani bila CHADEMA Lissu angepata ubunge? Si alikuwa huko nccr Mageuzi? Mbona alishindwa kupata ubunge akiwa huko mpaka alipokuja kupambaniwa na Mbowe? Si ni Mbowe huyo huyo Mwamba aliyemhangaikia Lissu kupata usafiri wa ndege kwenda Nchini Kenya kupata matibabu.
Demokrasia chadema iko ktk nyanja zipi sasa kama kwenye kuchagua na kuchaguliwa haipo?
 
Mti wenye matunda hupigwa mawe ivi ww hadi jasho ,mate,mavi yanakutoka kisa lisu asigombee sasa atagombea na siku ya kuchukua form usipime
Ukweli Lisu ndio chaguo la wana chadema wote

Umebwata mengi sana kana kwamba ww ndie unafaa ,mudanganye mkeo kitandani sio sisi tumeisha amua

Unajua kubwata ,mbwa hubwata hata kama hana meno ila sifa ni kubwata huu ni ushindi na ww ni Ccm mumuzowea kuwekewa watu dhaifu safari

Ivi yote yakutoke bure hapana subiri siku ya form utajificha ndani
 
Daah mkuu kwa kuandika upo sawa sana sema unachoandika ni madudu matupu..
 
Wana ccm mbona mnatetemeka hivyo kusikia lissu anagombea uenyekiti wa chadema? Si mlikuwa mnasema mbowe amekaa muda mrefu na hakuna demokrasia ndani ya chadema? Sasa mwamba lissu anagombea mnahangaika nini na siasa za chadema?
Mwamba Mbowe amekuwepo madarakani kwa sababu ya kupendwa na kuungwa mkono na wana CHADEMA na siyo kwa kujiweka Mwenyewe madarakani.uchapakazi wake,kujitoa na kujitolea kwake ndio vimefanya aendelee kuaminika na kuungwa mkono na wana CHADEMA kutoka kila kanda
 
Mti wenye matunda hupigwa mawe ivi ww hadi jasho ,mate,mavi yanakutoka kisa lisu asigombee sasa atagombea na siku ya kuchukua form usipime
Ukweli Lisu ndio chaguo la wana chadema wote

Umebwata mengi sana kana kwamba ww ndie unafaa ,mudanganye mkeo kitandani sio sisi tumeisha amua

Unajua kubwata ,mbwa hubwata hata kama hana meno ila sifa ni kubwata huu ni ushindi na ww ni Ccm mumuzowea kuwekewa watu dhaifu safari

Ivi yote yakutoke bure hapana subiri siku ya form utajificha ndani
Kuandika tu kwenyewe kunakupa shida .sasa Sijuwi ni vipi utaweza kuelewa hoja nzito kama hili.Lissu hawezi kuongoza hata familia yake katika nyakati ngumu. Embu muulize Lissu familia yake ipo wapi kwa sasa?
 
Familia yake iko ulaya kwenye maisha bora na elimu ya uhakika, sio hizi elimu za kukariri habari za mkoloni.
 
Hivi Mwashambwa hajifahamu hata hali aliyo nayo!! Yaani hata Mwashambwa anaamini kuwa na uwezo wa kushauri!! Maajabu makubwa!!
 
Ungeacha wenye akili Timamu na wanaojitambua wajadili hoja.wewe subiri hoja zenye kuendana na uwezo wako huo kisoda
 
Mwamba Mbowe amekuwepo madarakani kwa sababu ya kupendwa na kuungwa mkono na wana CHADEMA na siyo kwa kujiweka Mwenyewe madarakani.uchapakazi wake,kujitoa na kujitolea kwake ndio vimefanya aendelee kuaminika na kuungwa mkono na wana CHADEMA kutoka kila kanda
we unajulikana mwana ccm kindakindaki, chawa mtukuka, iweje upige kambi chadema kuandika mapendekezo yako? Mbaya zaidi unamsigina lissu ambaye ni dhahiri shahiri mwamba huyu anaenda kuwa mwenyekiti mpya wa chadema
 
Familia yake iko ulaya kwenye maisha bora na elimu ya uhakika, sio hizi elimu za kukariri habari za mkoloni.
Familia tu ameshindwa kukaa nayo na kuitunza .sasa Sijuwi ni vipi ataweza kuiongoza CHADEMA maana muda wowote ule anasanzuka zake Kwena ulaya kutumbua maisha.
 
we unajulikana mwana ccm kindakindaki, chawa mtukuka, iweje upige kambi chadema kuandika mapendekezo yako? Mbaya zaidi unamsigina lissu ambaye ni dhahiri shahiri mwamba huyu anaenda kuwa mwenyekiti mpya wa chadema
Kamwe na katu Lissu hawezi kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA
 
Kwa hiyo na wewe kwa akili yako unaona Lissu anaweza kuiongoza CHADEMA? Lissu hawezi kuongoza CHADEMA hata kwa siku moja tu.
Chadema ni nini isiongozwe mkuu pana nini kinafanywa hapo Chadema mambo ya akili usiyazungumzie tuzungumzie hoja uliyoileta maana ukitaka tuchambue akili zetu anzisha uzi mwingine..
 
Back
Top Bottom