Demokrasia chadema iko ktk nyanja zipi sasa kama kwenye kuchagua na kuchaguliwa haipo?Maendeleo ya Mbowe kivipi? Kwani bila CHADEMA Lissu angepata ubunge? Si alikuwa huko nccr Mageuzi? Mbona alishindwa kupata ubunge akiwa huko mpaka alipokuja kupambaniwa na Mbowe? Si ni Mbowe huyo huyo Mwamba aliyemhangaikia Lissu kupata usafiri wa ndege kwenda Nchini Kenya kupata matibabu.