Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah😀Janabi abakie hapa hapa bongo ushauri wake sometimes unakuwaga kama burudani. Mfano mwambie mlevi anywe bia moja kwa saa moja kutozitesa figo
Mjadala ulioibuka baada ya Janabi kupendekezwa kuingia katika ushindani wa kugombea nafasi ya Mkurugenzi wa WHO kanda ya Africa ni muhimu ila umepotoka kiasi kikubwa kwa kushindwa kujikita katika mahitaji ya mtu anayetakiwa katika hiyo nafasi. Pamoja na hayo nakubiliana na wanaosema CV ya Janabi inaweza isitoshe katika hiyo nafasi ila kwa vigezo tofauti na muhimu anavyokosa pamoja na kwamba yeye ni dakatri gwiji na bingwa.
Mtu anayehitajika katika nafasi hiyo ni mwenye uzoefu wa sera za afya, uongozi katika afya ya umma(public health) na zaidi sana ubobevu katika masuala ya magonjwa ya kuambukiza na milipuko. Haya ndio mambo kipaumbele kwa nafasi kama hiyo, sio gwiji wa matibabu au daktari bingwa. Ndugulile aliipata hiyo nafasi akiwa sio daktari gwiji au bingwa, wakuregenzi wengi WHO sio madaktari bingwa au magwiji wa matibabu na hata Mkuregenzi mkuu wa sasa wa WHO sio daktari kabisa kwa taaluma. Janabi anakosa sifa na uzoefu mkubwa katika maeneo haya yote.
Ninakubaliana na wewe. Prof. Janabi Hana ana uzoefu na maarifa makubwa katika masuala ya afya ya umma duniani, hususan kuhusu sera za magonjwa. Ni muhimu kwa viongozi kutafuta watu sahihi kwa subira, badala ya kufanya maamuzi ya haraka.Ukweli usemwe tu kuwa, Prof Janabi Hana experience na exposure ya kutosha ktk masuala ya Global Public health ambayo zaidi yanajikita ktk sera za magonjwa, mtoa mada yupo sahihi sana. Rais asingempoint direct bali angekuwa na subira ya kutafuta mtu sahihi. Kwa sasa mataifa mengine yatakuwa yananadaa candidates wao huku candidate wa Tz akiwa benchmarking ktk ushindani. Ni vizuri kuficha silaha zako in wining the battle against competitors.
Tanzania itapewa kura za huruma kutokana na msiba uliotokea.Mjadala ulioibuka baada ya Janabi kupendekezwa kuingia katika ushindani wa kugombea nafasi ya Mkurugenzi wa WHO kanda ya Africa ni muhimu ila umepotoka kiasi kikubwa kwa kushindwa kujikita katika mahitaji ya mtu anayetakiwa katika hiyo nafasi. Pamoja na hayo nakubiliana na wanaosema CV ya Janabi inaweza isitoshe katika hiyo nafasi ila kwa vigezo tofauti na muhimu anavyokosa pamoja na kwamba yeye ni dakatri gwiji na bingwa.
Mtu anayehitajika katika nafasi hiyo ni mwenye uzoefu wa sera za afya, uongozi katika afya ya umma(public health) na zaidi sana ubobevu katika masuala ya magonjwa ya kuambukiza na milipuko. Haya ndio mambo kipaumbele kwa nafasi kama hiyo, sio gwiji wa matibabu au daktari bingwa. Ndugulile aliipata hiyo nafasi akiwa sio daktari gwiji au bingwa, wakuregenzi wengi WHO sio madaktari bingwa au magwiji wa matibabu na hata Mkuregenzi mkuu wa sasa wa WHO sio daktari kabisa kwa taaluma. Janabi anakosa sifa na uzoefu mkubwa katika maeneo haya yote.
Wewe unadhani aliposhinda hiyo nafasi the late Ndungulile mataifa mengine yalifurahi? Candidate wetu alikuwa na uwezo mkubwa dhidi Yao pamoja na mikakati ya kitaifa iliyotumika, so hamna Cha kura za huruma hapo.Tanzania itapewa kura za huruma kutokana na msiba uliotokea.
Soma mada vizuri mkuuZanzibar-ASP anakata kwamba Prof Janabi sio daktari bingwa wa magonjwa ya moyo,tafuta Uzi wake usome then utakuja na hitimisho kuhusu kumuita Janabi ni bingwa au laa.
Kwamba prof. Janabi hana, ila Ndugulile (RiP) alikuwa na hiyo experience na exposure in global public health?!Ukweli usemwe tu kuwa, Prof Janabi Hana experience na exposure ya kutosha ktk masuala ya Global Public health ambayo zaidi yanajikita ktk sera za magonjwa,
Ndugulile aliwahi kuwa waziri wa Afya, alikuwa na elimu ya public health na uzoefu wa kufanya kazi za mfumo wa Afya nje ya Tanzania.Kwa hiyo prof. Janabi hana, ila Ndugulile (RiP) alikuwa na hiyo experience na exposure in global public health?!
Bora angemchukua mtu kama Dr. Ntuli KapologweUkweli usemwe tu kuwa, Prof Janabi Hana experience na exposure ya kutosha ktk masuala ya Global Public health ambayo zaidi yanajikita ktk sera za magonjwa, mtoa mada yupo sahihi sana. Rais asingempoint direct bali angekuwa na subira ya kutafuta mtu sahihi. Kwa sasa mataifa mengine yatakuwa yananadaa candidates wao huku candidate wa Tz akiwa benchmarking ktk ushindani. Ni vizuri kuficha silaha zako in wining the battle against competitors.
Africa itamuaibishaProf anatumika bila kujua ili ku push political mileages Za Mtu fulani.
Tatizo ni uwezo wa mtu aliyemfanyia nomination,Mjadala ulioibuka baada ya Janabi kupendekezwa kuingia katika ushindani wa kugombea nafasi ya Mkurugenzi wa WHO kanda ya Africa ni muhimu ila umepotoka kiasi kikubwa kwa kushindwa kujikita katika mahitaji ya mtu anayetakiwa katika hiyo nafasi. Pamoja na hayo nakubiliana na wanaosema CV ya Janabi inaweza isitoshe katika hiyo nafasi ila kwa vigezo tofauti na muhimu anavyokosa pamoja na kwamba yeye ni dakatri gwiji na bingwa.