Itakuwaje kama Halima akiamua kusema ukweli kuwa amehongwa na CCM kufanya yale aliyoyafanya?

Msukuma Original

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2018
Posts
928
Reaction score
3,334
Najaribu kuwaza, hivi itakuwaje kama Halima Mdee akaamua kuweka mambo yote hadharani. Yaani akaamua kutaja mchezo mzima ulivyokuwa i.e. kuwataja wote wahusika, kiasi alichohongwa, makubaliano na kuivua nguo ccm. Na hapo hapo kutangaza kuwaomba msamahama wanachadema kwa kuwaambia watanzania na dunia nzima kuwa lengo lake lilikuwa kuiumbua ccm kwa uharamia inaoufanya. Yaani aliamua kuingia chimboni ili kufunua wazi njama za ccm zikiwemo kura fake, ununuzi wa wabunge uliokuwa ukifanywa, na Yeye aliamua kujifanya kununulika ili kudhihirisha madai ya wapinzani kuwa ccm ni kweli inanunua watu. Nadhani akifanya hivi nchi itatikisika. Hii itakuwa ni sawa na house girl kukatisha sebleni na kanga moja wakati familia nzima ipo sebleni, lazima nyumba itikisike.
 
Atafungwa kwa kupokea hongo
 
Utakuwa ni mlipuko wa nyuklia Kama ule wa muororoa atol
 
Hata akisema hivyo huo upepo utapita na maisha yataendelea..wanasiasa wetu hawana aibu na washatuona makanyaboya.
 
Kutokana na uroho/tamaa yake ya pesa, hawezi kufanya hivo.
 
Najaribu kuwaza, hivi itakuwaje kama Halima Mdee akaamua kuweka mambo yote hadharani. Yaani akaamua kutaja mchezo mzima ulivyokuwa i.e. kuwataja wote wahusika, kiasi alichohongwa, makubaliano na kuivua nguo ccm. Na hapo hapo kutangaza kuwaomba msamahama wanachadema kwa kuwaambia watanzania na dunia nzima kuwa lengo lake lilikuwa kuiumbua ccm kwa uharamia inaoufanya. Yaani aliamua kuingia chimboni ili kufunua wazi njama za ccm zikiwemo kura fake, ununuzi wa wabunge uliokuwa ukifanywa, na Yeye aliamua kujifanya kununulika ili kudhihirisha madai ya wapinzani kuwa ccm ni kweli inanunua watu. Nadhani akifanya hivi nchi itatikisika. Hii itakuwa ni sawa na house girl kukatisha sebleni na kanga moja wakati familia nzima ipo sebleni, lazima nyumba itikisike.
Halima alichofanya ni katika Yale majina 30 ambayo Mnyika alipeleka tume yy akaenda kuedit na Kuwatoa madem wa viongozi
 
Najaribu kuwaza, hivi itakuwaje kama Halima Mdee akaamua kuweka mambo yote hadharani. Yaani akaamua kutaja mchezo mzima ulivyokuwa i.e. kuwataja wote wahusika, kiasi alichohongwa, makubaliano na kuivua nguo ccm. Na hapo hapo kutangaza kuwaomba msamahama wanachadema kwa kuwaambia watanzania na dunia nzima kuwa lengo lake lilikuwa kuiumbua ccm kwa uharamia inaoufanya. Yaani aliamua kuingia chimboni ili kufunua wazi njama za ccm zikiwemo kura fake, ununuzi wa wabunge uliokuwa ukifanywa, na Yeye aliamua kujifanya kununulika ili kudhihirisha madai ya wapinzani kuwa ccm ni kweli inanunua watu. Nadhani akifanya hivi nchi itatikisika. Hii itakuwa ni sawa na house girl kukatisha sebleni na kanga moja wakati familia nzima ipo sebleni, lazima nyumba itikisike.
Hii haiwezi kutokea akafanya hivyo!
She knows the consequences.
 
Au kama kweli ameshapokea pesa ake, akaomba tu msamaha, bila kutaja rushwa wala nini, akose sifa ya ubunge abaki na sifa ya uanachama, na offcourse, fweza nazo zibaki!
 
Najaribu kuwaza, hivi itakuwaje kama Halima Mdee akaamua kuweka mambo yote hadharani. Yaani akaamua kutaja mchezo mzima ulivyokuwa i.e. kuwataja wote wahusika, kiasi alichohongwa, makubaliano na kuivua nguo ccm. Na hapo hapo kutangaza kuwaomba msamahama wanachadema kwa kuwaambia watanzania na dunia nzima kuwa lengo lake lilikuwa kuiumbua ccm kwa uharamia inaoufanya. Yaani aliamua kuingia chimboni ili kufunua wazi njama za ccm zikiwemo kura fake, ununuzi wa wabunge uliokuwa ukifanywa, na Yeye aliamua kujifanya kununulika ili kudhihirisha madai ya wapinzani kuwa ccm ni kweli inanunua watu. Nadhani akifanya hivi nchi itatikisika. Hii itakuwa ni sawa na house girl kukatisha sebleni na kanga moja wakati familia nzima ipo sebleni, lazima nyumba itikisike.
Nani mwenye akili timamu utamuamini muhuni kama huyu? Leo anadai amekamata kura za wizi, kesho anaapishwa kama mbunge!
 
Nasikia ana record ya sauti ya mazungumzo Kati yake na Mbowe.
 
Najaribu kuwaza, hivi itakuwaje kama Halima Mdee akaamua kuweka mambo yote hadharani. Yaani akaamua kutaja mchezo mzima ulivyokuwa i.e. kuwataja wote wahusika, kiasi alichohongwa, makubaliano na kuivua nguo ccm. Na hapo hapo kutangaza kuwaomba msamahama wanachadema kwa kuwaambia watanzania na dunia nzima kuwa lengo lake lilikuwa kuiumbua ccm kwa uharamia inaoufanya. Yaani aliamua kuingia chimboni ili kufunua wazi njama za ccm zikiwemo kura fake, ununuzi wa wabunge uliokuwa ukifanywa, na Yeye aliamua kujifanya kununulika ili kudhihirisha madai ya wapinzani kuwa ccm ni kweli inanunua watu. Nadhani akifanya hivi nchi itatikisika. Hii itakuwa ni sawa na house girl kukatisha sebleni na kanga moja wakati familia nzima ipo sebleni, lazima nyumba itikisike.
Wewe hujui kinachoendelea. Halima &Co ni wabunge to 2025.
 
Ni ngumu kidogo kufanya hivyo hata kama inaweza kuwa kweli kwa sababu hii michezo inachezwa na TISS...

TISS ni wauaji... hawawezi kucheza michezo hatari kama hii bila kuwa na assurance kwamba hutaropoka!!!

Si unamkumbuka Ulimboka?!

Ulishawahi kusikia akisema chochote?! Utadhani keshakufa kumbe jamaa bado ni mzima lakini hawajahi kuongea hata neno!!!

When you make a deal with TISS, you're making it with a DEVIL!!

SO, Halima ku-reveal mchezo mzima kunahitaji ujasiri wa ziada, ambao siwezi kusema hana lakini yupo jirani zaidi na kutokuwa nao kuliko kuwa nao!! Sana sana anachoweza kusema "...nilipitiwa na shetani, na mimi kama mwanadamu lazima nikiri nina mapungufu"!
 
.................Labda kama wasiojulikana watakuwa wameisha nchi hii.

Ila nachoamini mimi Halima alichofanya ni kitu kilikuwa planned ana alikuwa anajua mwanzo mwisho wa alichoshiriki na hili ni tatizo la kuhamishia njaa kichwani,stage hii hata angeambiwa amtoe kafara mama yake ili apate ubunge asingesita kumchomoa.
 
Najaribu kuwaza, hivi itakuwaje kama Halima Mdee akaamua kuweka mambo yote hadharani. Yaani akaamua kutaja mchezo mzima ulivyokuwa i.e. kuwataja wote wahusika, kiasi alichohongwa, makubaliano na kuivua nguo ccm. Na hapo hapo kutangaza kuwaomba msamahama wanachadema kwa kuwaambia watanzania na dunia nzima kuwa lengo lake lilikuwa kuiumbua ccm kwa uharamia inaoufanya. Yaani aliamua kuingia chimboni ili kufunua wazi njama za ccm zikiwemo kura fake, ununuzi wa wabunge uliokuwa ukifanywa, na Yeye aliamua kujifanya kununulika ili kudhihirisha madai ya wapinzani kuwa ccm ni kweli inanunua watu. Nadhani akifanya hivi nchi itatikisika. Hii itakuwa ni sawa na house girl kukatisha sebleni na kanga moja wakati familia nzima ipo sebleni, lazima nyumba itikisike.
😆😆😆
 
Back
Top Bottom