Itakuwaje kama Halima akiamua kusema ukweli kuwa amehongwa na CCM kufanya yale aliyoyafanya?

Joshua Nassari alijaribu, sasa hivi yuko wapi ?
 
Najaribu kuwaza, hivi itakuwaje kama Halima Mdee akaamua kuweka mambo yote hadharani. Yaani akaamua kutaja mchezo mzima ulivyokuwa i.e. kuwataja wote wahusika, kiasi alichohongwa, makubaliano na kuivua nguo ccm. Na hapo hapo kutangaza kuwaomba msamahama wanachadema kwa kuwaambia watanzania na dunia nzima kuwa lengo lake lilikuwa kuiumbua ccm kwa uharamia inaoufanya. Yaani aliamua kuingia chimboni ili kufunua wazi njama za ccm zikiwemo kura fake, ununuzi wa wabunge uliokuwa ukifanywa, na Yeye aliamua kujifanya kununulika ili kudhihirisha madai ya wapinzani kuwa ccm ni kweli inanunua watu. Nadhani akifanya hivi nchi itatikisika. Hii itakuwa ni sawa na house girl kukatisha sebleni na kanga moja wakati familia nzima ipo sebleni, lazima nyumba itikisike.
Awe na ushahidi hata mm nitamsamehe make amekatisha mapenz yangu kwa wanawake wa chadema
 
Najaribu kuwaza, hivi itakuwaje kama Halima Mdee akaamua kuweka mambo yote hadharani. Yaani akaamua kutaja mchezo mzima ulivyokuwa i.e. kuwataja wote wahusika, kiasi alichohongwa, makubaliano na kuivua nguo ccm. Na hapo hapo kutangaza kuwaomba msamahama wanachadema kwa kuwaambia watanzania na dunia nzima kuwa lengo lake lilikuwa kuiumbua ccm kwa uharamia inaoufanya. Yaani aliamua kuingia chimboni ili kufunua wazi njama za ccm zikiwemo kura fake, ununuzi wa wabunge uliokuwa ukifanywa, na Yeye aliamua kujifanya kununulika ili kudhihirisha madai ya wapinzani kuwa ccm ni kweli inanunua watu. Nadhani akifanya hivi nchi itatikisika. Hii itakuwa ni sawa na house girl kukatisha sebleni na kanga moja wakati familia nzima ipo sebleni, lazima nyumba itikisike.

Mtoa rushwa na mpokea rushwa wote ni "manzi kanyanza" mbele ya sheria, ni lazima awe na ushahidi wa kupewa rushwa kinyume chake ni yeye pekee atakayeshughulikiwa kisheria kwa kusema uongo kwa nia ya kuwafedhehesha CCM.
 
Najaribu kuwaza, hivi itakuwaje kama Halima Mdee akaamua kuweka mambo yote hadharani. Yaani akaamua kutaja mchezo mzima ulivyokuwa i.e. kuwataja wote wahusika, kiasi alichohongwa, makubaliano na kuivua nguo ccm. Na hapo hapo kutangaza kuwaomba msamahama wanachadema kwa kuwaambia watanzania na dunia nzima kuwa lengo lake lilikuwa kuiumbua ccm kwa uharamia inaoufanya. Yaani aliamua kuingia chimboni ili kufunua wazi njama za ccm zikiwemo kura fake, ununuzi wa wabunge uliokuwa ukifanywa, na Yeye aliamua kujifanya kununulika ili kudhihirisha madai ya wapinzani kuwa ccm ni kweli inanunua watu. Nadhani akifanya hivi nchi itatikisika. Hii itakuwa ni sawa na house girl kukatisha sebleni na kanga moja wakati familia nzima ipo sebleni, lazima nyumba itikisike.
Labda kitu kingine ni kuwa vipi wakisamehewa wanaweza kubaki mjengoni? au story zinakuwa zimeishia hapo.wanakuwa wabunge wa kwanza kuapishwa nje ya Bunge na ubunge wao kubaki huki huko nje ya bunge?
 
Inawezekana ndio ilikuwa nia yake. Labda wameisha mstukia ndio maana wanamweka karibu sana na kumtetea kiasi cha kuwafanya Chadema wakose imani kabisa. Kingine ni hizi taarifa kuwa bado wanawapigia watu ili wawaunge mkono kwa ahadi za udiwani.
Yetu macho.

Amandla...
 
Najaribu kuwaza, hivi itakuwaje kama Halima Mdee akaamua kuweka mambo yote hadharani. Yaani akaamua kutaja mchezo mzima ulivyokuwa i.e. kuwataja wote wahusika, kiasi alichohongwa, makubaliano na kuivua nguo ccm. Na hapo hapo kutangaza kuwaomba msamahama wanachadema kwa kuwaambia watanzania na dunia nzima kuwa lengo lake lilikuwa kuiumbua ccm kwa uharamia inaoufanya. Yaani aliamua kuingia chimboni ili kufunua wazi njama za ccm zikiwemo kura fake, ununuzi wa wabunge uliokuwa ukifanywa, na Yeye aliamua kujifanya kununulika ili kudhihirisha madai ya wapinzani kuwa ccm ni kweli inanunua watu. Nadhani akifanya hivi nchi itatikisika. Hii itakuwa ni sawa na house girl kukatisha sebleni na kanga moja wakati familia nzima ipo sebleni, lazima nyumba itikisike.
Bado natafari alivyotolewa gerezani muda ule kesho yake kaapishwa na spika wa bunge.
Picha imechezwa kitoto sana, kuanzia mihimili hadi watawala siamini kwamba ule ndo uwezo wao wa kufikiri Mambo.
 
Ni ngumu kidogo kufanya hivyo hata kama inaweza kuwa kweli kwa sababu hii michezo inachezwa na TISS...

TISS ni wauaji... hawawezi kucheza michezo hatari kama hii bila kuwa na assurance kwamba hutaropoka!!!

Si unamkumbuka Ulimboka?!

Ulishawahi kusikia akisema chochote?! Utadhani keshakufa kumbe jamaa bado ni mzima lakini hawajahi kuongea hata neno!!!

When you make a deal with TISS, you're making it with a DEVIL!!

SO, Halima ku-reveal mchezo mzima kunahitaji ujasiri wa ziada, ambao siwezi kusema hana lakini yupo jirani zaidi na kutokuwa nao kuliko kuwa nao!! Sana sana anachoweza kusema "...nilipitiwa na shetani, na mimi kama mwanadamu lazima nikiri nina mapungufu"!
Wanasiasa wote huwa hawatoi siri kama hizo,hata anayehama upinzani kwenda chama tawala.
 
Najaribu kuwaza, hivi itakuwaje kama Halima Mdee akaamua kuweka mambo yote hadharani. Yaani akaamua kutaja mchezo mzima ulivyokuwa i.e. kuwataja wote wahusika, kiasi alichohongwa, makubaliano na kuivua nguo ccm. Na hapo hapo kutangaza kuwaomba msamahama wanachadema kwa kuwaambia watanzania na dunia nzima kuwa lengo lake lilikuwa kuiumbua ccm kwa uharamia inaoufanya. Yaani aliamua kuingia chimboni ili kufunua wazi njama za ccm zikiwemo kura fake, ununuzi wa wabunge uliokuwa ukifanywa, na Yeye aliamua kujifanya kununulika ili kudhihirisha madai ya wapinzani kuwa ccm ni kweli inanunua watu. Nadhani akifanya hivi nchi itatikisika. Hii itakuwa ni sawa na house girl kukatisha sebleni na kanga moja wakati familia nzima ipo sebleni, lazima nyumba itikisike.
Bilashaka unaota wewe , wewe unaijua siasa unaisikia ,Tulia uone ngoma itakavyokuwa subiri Mdee na kundi lake wafanye press yao watu watajuta kuropoka hovyo manake wataumbuka Chwaaaaaa
 
Anayeongwa ni vigumu kusema kahongwa, hata hivyo kama ni kweli haitosaidia chochote, lakini pia kuhongwa ili utende kinyume na utaratibu ni kosa/rushwa.
Pengine mahala kuna tatizo ndani ya chadema yawezekana kuna vita vya ndani kwa ndani toka mchakato wa uchaguzi kuanza na kumalizika, hivyo imefika wakati wa kila mtu kuangalia future/ ndoto yake.
Vijana wa mjini wanaita kuzungukana wao kwa wao, ni suala la muda.
Tumuombe Mwenyezi Mungu aisaidie Chadema kwani iko katika wakati ngumu wenye majaribu magumu.
Ushauri wangu kwao ni kuwa " kwa kuwa karibu 85%+ ya viongozi wake kuanzia madiwani hadi wabunge wameamia CCM na ili kukabiliana na CCM miaka ijayo basi waliobaki waamie wote CCM ili waibadilishe CCM iwe Chadema kimfumo "
Ushauri huo ndio alioutumia Mh.Rais kuibadilisha CCM ya zamani na kuleta CCM mpya yenye sura ya chadema ya zamani.
 
Najaribu kuwaza, hivi itakuwaje kama Halima Mdee akaamua kuweka mambo yote hadharani. Yaani akaamua kutaja mchezo mzima ulivyokuwa i.e. kuwataja wote wahusika, kiasi alichohongwa, makubaliano na kuivua nguo ccm. Na hapo hapo kutangaza kuwaomba msamahama wanachadema kwa kuwaambia watanzania na dunia nzima kuwa lengo lake lilikuwa kuiumbua ccm kwa uharamia inaoufanya. Yaani aliamua kuingia chimboni ili kufunua wazi njama za ccm zikiwemo kura fake, ununuzi wa wabunge uliokuwa ukifanywa, na Yeye aliamua kujifanya kununulika ili kudhihirisha madai ya wapinzani kuwa ccm ni kweli inanunua watu. Nadhani akifanya hivi nchi itatikisika. Hii itakuwa ni sawa na house girl kukatisha sebleni na kanga moja wakati familia nzima ipo sebleni, lazima nyumba itikisike.
Na je kuhusu yule Nusrat? Kwamba aliweza kuwashawishi wamtoe ndani?!
 
Na akisema alipata baraka za mwenyekiti, na akawa na ushahidi madhubuti, je itakuwaje?
Achaneni na lugha hizo jamani! Baraka huwa wanatoa viongozi wa dini siyo wanasiasa. Tena viongozi wa dini wenyewe ni mapadre tu siyo hawa wakwapiaji pesa akina masanja na the so called mitume
 
Tumuombe Mwenyezi Mungu aisaidie Chadema kwani iko katika wakati ngumu wenye majaribu magumu.
Pole sana endelea kujipa faraja hewa. Ingefaa mngejitambua na kuanza kujiombea wenyewe. Nyi ndo mko katika majaribu makubwa, mnaoishi kwa kushindana kuimba mapambio ama sivyo njia ya kwenda maliwato inaota majani
 
Back
Top Bottom