obetelasto
Member
- Nov 27, 2020
- 7
- 0
Katika. maisha. Chagamoto zipo halima wata vuka kwa busara. nahekima came kikubwa hichi tuvumilie hinfufni itapita
Mpare mwenzie Diwani Msuya ameshamuonya akitema tu amekwisha!!Najaribu kuwaza, hivi itakuwaje kama Halima Mdee akaamua kuweka mambo yote hadharani. Yaani akaamua kutaja mchezo mzima ulivyokuwa i.e. kuwataja wote wahusika, kiasi alichohongwa, makubaliano na kuivua nguo ccm. Na hapo hapo kutangaza kuwaomba msamahama wanachadema kwa kuwaambia watanzania na dunia nzima kuwa lengo lake lilikuwa kuiumbua ccm kwa uharamia inaoufanya. Yaani aliamua kuingia chimboni ili kufunua wazi njama za ccm zikiwemo kura fake, ununuzi wa wabunge uliokuwa ukifanywa, na Yeye aliamua kujifanya kununulika ili kudhihirisha madai ya wapinzani kuwa ccm ni kweli inanunua watu. Nadhani akifanya hivi nchi itatikisika. Hii itakuwa ni sawa na house girl kukatisha sebleni na kanga moja wakati familia nzima ipo sebleni, lazima nyumba itikisike.
Muulize yeye au Polepole.Najaribu kuwaza, hivi itakuwaje kama Halima Mdee akaamua kuweka mambo yote hadharani. Yaani akaamua kutaja mchezo mzima ulivyokuwa i.e. kuwataja wote wahusika, kiasi alichohongwa, makubaliano na kuivua nguo ccm. Na hapo hapo kutangaza kuwaomba msamahama wanachadema kwa kuwaambia watanzania na dunia nzima kuwa lengo lake lilikuwa kuiumbua ccm kwa uharamia inaoufanya. Yaani aliamua kuingia chimboni ili kufunua wazi njama za ccm zikiwemo kura fake, ununuzi wa wabunge uliokuwa ukifanywa, na Yeye aliamua kujifanya kununulika ili kudhihirisha madai ya wapinzani kuwa ccm ni kweli inanunua watu. Nadhani akifanya hivi nchi itatikisika. Hii itakuwa ni sawa na house girl kukatisha sebleni na kanga moja wakati familia nzima ipo sebleni, lazima nyumba itikisike.