Msukuma Original
JF-Expert Member
- Oct 2, 2018
- 928
- 3,334
Atafungwa kwa kupokea hongoNajaribu kuwaza, hivi itakuwaje kama Halima Mdee akaamua kuweka mambo yote hadharani. Yaani akaamua kutaja mchezo mzima ulivyokuwa i.e. kuwataja wote wahusika, kiasi alichohongwa, makubaliano na kuivua nguo ccm. Na hapo hapo kutangaza kuwaomba msamahama wanachadema kwa kuwaambia watanzania na dunia nzima kuwa lengo lake lilikuwa kuiumbua ccm kwa uharamia inaoufanya. Yaani aliamua kuingia chimboni ili kufunua wazi njama za ccm zikiwemo kura fake, ununuzi wa wabunge uliokuwa ukifanywa, na Yeye aliamua kujifanya kununulika ili kudhihirisha madai ya wapinzani kuwa ccm ni kweli inanunua watu. Nadhani akifanya hivi nchi itatikisika. Hii itakuwa ni sawa na house girl kukatisha sebleni na kanga moja wakati familia nzima ipo sebleni, lazima nyumba itikisike.
Utakuwa ni mlipuko wa nyuklia Kama ule wa muororoa atolNajaribu kuwaza, hivi itakuwaje kama Halima Mdee akaamua kuweka mambo yote hadharani. Yaani akaamua kutaja mchezo mzima ulivyokuwa i.e. kuwataja wote wahusika, kiasi alichohongwa, makubaliano na kuivua nguo ccm. Na hapo hapo kutangaza kuwaomba msamahama wanachadema kwa kuwaambia watanzania na dunia nzima kuwa lengo lake lilikuwa kuiumbua ccm kwa uharamia inaoufanya. Yaani aliamua kuingia chimboni ili kufunua wazi njama za ccm zikiwemo kura fake, ununuzi wa wabunge uliokuwa ukifanywa, na Yeye aliamua kujifanya kununulika ili kudhihirisha madai ya wapinzani kuwa ccm ni kweli inanunua watu. Nadhani akifanya hivi nchi itatikisika. Hii itakuwa ni sawa na house girl kukatisha sebleni na kanga moja wakati familia nzima ipo sebleni, lazima nyumba itikisike.
Hata akisema hivyo huo upepo utapita na maisha yataendelea..wanasiasa wetu hawana aibu na washatuona makanyaboya.Najaribu kuwaza, hivi itakuwaje kama Halima Mdee akaamua kuweka mambo yote hadharani. Yaani akaamua kutaja mchezo mzima ulivyokuwa i.e. kuwataja wote wahusika, kiasi alichohongwa, makubaliano na kuivua nguo ccm. Na hapo hapo kutangaza kuwaomba msamahama wanachadema kwa kuwaambia watanzania na dunia nzima kuwa lengo lake lilikuwa kuiumbua ccm kwa uharamia inaoufanya. Yaani aliamua kuingia chimboni ili kufunua wazi njama za ccm zikiwemo kura fake, ununuzi wa wabunge uliokuwa ukifanywa, na Yeye aliamua kujifanya kununulika ili kudhihirisha madai ya wapinzani kuwa ccm ni kweli inanunua watu. Nadhani akifanya hivi nchi itatikisika. Hii itakuwa ni sawa na house girl kukatisha sebleni na kanga moja wakati familia nzima ipo sebleni, lazima nyumba itikisike.
Halima alichofanya ni katika Yale majina 30 ambayo Mnyika alipeleka tume yy akaenda kuedit na Kuwatoa madem wa viongoziNajaribu kuwaza, hivi itakuwaje kama Halima Mdee akaamua kuweka mambo yote hadharani. Yaani akaamua kutaja mchezo mzima ulivyokuwa i.e. kuwataja wote wahusika, kiasi alichohongwa, makubaliano na kuivua nguo ccm. Na hapo hapo kutangaza kuwaomba msamahama wanachadema kwa kuwaambia watanzania na dunia nzima kuwa lengo lake lilikuwa kuiumbua ccm kwa uharamia inaoufanya. Yaani aliamua kuingia chimboni ili kufunua wazi njama za ccm zikiwemo kura fake, ununuzi wa wabunge uliokuwa ukifanywa, na Yeye aliamua kujifanya kununulika ili kudhihirisha madai ya wapinzani kuwa ccm ni kweli inanunua watu. Nadhani akifanya hivi nchi itatikisika. Hii itakuwa ni sawa na house girl kukatisha sebleni na kanga moja wakati familia nzima ipo sebleni, lazima nyumba itikisike.
Hii haiwezi kutokea akafanya hivyo!Najaribu kuwaza, hivi itakuwaje kama Halima Mdee akaamua kuweka mambo yote hadharani. Yaani akaamua kutaja mchezo mzima ulivyokuwa i.e. kuwataja wote wahusika, kiasi alichohongwa, makubaliano na kuivua nguo ccm. Na hapo hapo kutangaza kuwaomba msamahama wanachadema kwa kuwaambia watanzania na dunia nzima kuwa lengo lake lilikuwa kuiumbua ccm kwa uharamia inaoufanya. Yaani aliamua kuingia chimboni ili kufunua wazi njama za ccm zikiwemo kura fake, ununuzi wa wabunge uliokuwa ukifanywa, na Yeye aliamua kujifanya kununulika ili kudhihirisha madai ya wapinzani kuwa ccm ni kweli inanunua watu. Nadhani akifanya hivi nchi itatikisika. Hii itakuwa ni sawa na house girl kukatisha sebleni na kanga moja wakati familia nzima ipo sebleni, lazima nyumba itikisike.
Na waliotoa pia wafungwe sioAtafungwa kwa kupokea hongo
Nani mwenye akili timamu utamuamini muhuni kama huyu? Leo anadai amekamata kura za wizi, kesho anaapishwa kama mbunge!Najaribu kuwaza, hivi itakuwaje kama Halima Mdee akaamua kuweka mambo yote hadharani. Yaani akaamua kutaja mchezo mzima ulivyokuwa i.e. kuwataja wote wahusika, kiasi alichohongwa, makubaliano na kuivua nguo ccm. Na hapo hapo kutangaza kuwaomba msamahama wanachadema kwa kuwaambia watanzania na dunia nzima kuwa lengo lake lilikuwa kuiumbua ccm kwa uharamia inaoufanya. Yaani aliamua kuingia chimboni ili kufunua wazi njama za ccm zikiwemo kura fake, ununuzi wa wabunge uliokuwa ukifanywa, na Yeye aliamua kujifanya kununulika ili kudhihirisha madai ya wapinzani kuwa ccm ni kweli inanunua watu. Nadhani akifanya hivi nchi itatikisika. Hii itakuwa ni sawa na house girl kukatisha sebleni na kanga moja wakati familia nzima ipo sebleni, lazima nyumba itikisike.
Wewe hujui kinachoendelea. Halima &Co ni wabunge to 2025.Najaribu kuwaza, hivi itakuwaje kama Halima Mdee akaamua kuweka mambo yote hadharani. Yaani akaamua kutaja mchezo mzima ulivyokuwa i.e. kuwataja wote wahusika, kiasi alichohongwa, makubaliano na kuivua nguo ccm. Na hapo hapo kutangaza kuwaomba msamahama wanachadema kwa kuwaambia watanzania na dunia nzima kuwa lengo lake lilikuwa kuiumbua ccm kwa uharamia inaoufanya. Yaani aliamua kuingia chimboni ili kufunua wazi njama za ccm zikiwemo kura fake, ununuzi wa wabunge uliokuwa ukifanywa, na Yeye aliamua kujifanya kununulika ili kudhihirisha madai ya wapinzani kuwa ccm ni kweli inanunua watu. Nadhani akifanya hivi nchi itatikisika. Hii itakuwa ni sawa na house girl kukatisha sebleni na kanga moja wakati familia nzima ipo sebleni, lazima nyumba itikisike.
Angekuja kwenye kikao janaAkifanya hivyo NITAMSAMEHE TOKA UVUNGU WA MOYO WANGU....ILA AWE NA USHAHIDI MADHUBUTI....
Hahaha hapana huwezi kufungwa ukiwa ccm.Atafungwa kwa kupokea hongo
πππNajaribu kuwaza, hivi itakuwaje kama Halima Mdee akaamua kuweka mambo yote hadharani. Yaani akaamua kutaja mchezo mzima ulivyokuwa i.e. kuwataja wote wahusika, kiasi alichohongwa, makubaliano na kuivua nguo ccm. Na hapo hapo kutangaza kuwaomba msamahama wanachadema kwa kuwaambia watanzania na dunia nzima kuwa lengo lake lilikuwa kuiumbua ccm kwa uharamia inaoufanya. Yaani aliamua kuingia chimboni ili kufunua wazi njama za ccm zikiwemo kura fake, ununuzi wa wabunge uliokuwa ukifanywa, na Yeye aliamua kujifanya kununulika ili kudhihirisha madai ya wapinzani kuwa ccm ni kweli inanunua watu. Nadhani akifanya hivi nchi itatikisika. Hii itakuwa ni sawa na house girl kukatisha sebleni na kanga moja wakati familia nzima ipo sebleni, lazima nyumba itikisike.