Itakuwaje kama Halima akiamua kusema ukweli kuwa amehongwa na CCM kufanya yale aliyoyafanya?

Joshua Nassari alijaribu, sasa hivi yuko wapi ?
 
Awe na ushahidi hata mm nitamsamehe make amekatisha mapenz yangu kwa wanawake wa chadema
 


Mtoa rushwa na mpokea rushwa wote ni "manzi kanyanza" mbele ya sheria, ni lazima awe na ushahidi wa kupewa rushwa kinyume chake ni yeye pekee atakayeshughulikiwa kisheria kwa kusema uongo kwa nia ya kuwafedhehesha CCM.
 
Labda kitu kingine ni kuwa vipi wakisamehewa wanaweza kubaki mjengoni? au story zinakuwa zimeishia hapo.wanakuwa wabunge wa kwanza kuapishwa nje ya Bunge na ubunge wao kubaki huki huko nje ya bunge?
 
Inawezekana ndio ilikuwa nia yake. Labda wameisha mstukia ndio maana wanamweka karibu sana na kumtetea kiasi cha kuwafanya Chadema wakose imani kabisa. Kingine ni hizi taarifa kuwa bado wanawapigia watu ili wawaunge mkono kwa ahadi za udiwani.
Yetu macho.

Amandla...
 
Bado natafari alivyotolewa gerezani muda ule kesho yake kaapishwa na spika wa bunge.
Picha imechezwa kitoto sana, kuanzia mihimili hadi watawala siamini kwamba ule ndo uwezo wao wa kufikiri Mambo.
 
Wanasiasa wote huwa hawatoi siri kama hizo,hata anayehama upinzani kwenda chama tawala.
 
Bilashaka unaota wewe , wewe unaijua siasa unaisikia ,Tulia uone ngoma itakavyokuwa subiri Mdee na kundi lake wafanye press yao watu watajuta kuropoka hovyo manake wataumbuka Chwaaaaaa
 
Anayeongwa ni vigumu kusema kahongwa, hata hivyo kama ni kweli haitosaidia chochote, lakini pia kuhongwa ili utende kinyume na utaratibu ni kosa/rushwa.
Pengine mahala kuna tatizo ndani ya chadema yawezekana kuna vita vya ndani kwa ndani toka mchakato wa uchaguzi kuanza na kumalizika, hivyo imefika wakati wa kila mtu kuangalia future/ ndoto yake.
Vijana wa mjini wanaita kuzungukana wao kwa wao, ni suala la muda.
Tumuombe Mwenyezi Mungu aisaidie Chadema kwani iko katika wakati ngumu wenye majaribu magumu.
Ushauri wangu kwao ni kuwa " kwa kuwa karibu 85%+ ya viongozi wake kuanzia madiwani hadi wabunge wameamia CCM na ili kukabiliana na CCM miaka ijayo basi waliobaki waamie wote CCM ili waibadilishe CCM iwe Chadema kimfumo "
Ushauri huo ndio alioutumia Mh.Rais kuibadilisha CCM ya zamani na kuleta CCM mpya yenye sura ya chadema ya zamani.
 
Na je kuhusu yule Nusrat? Kwamba aliweza kuwashawishi wamtoe ndani?!
 
Na akisema alipata baraka za mwenyekiti, na akawa na ushahidi madhubuti, je itakuwaje?
Achaneni na lugha hizo jamani! Baraka huwa wanatoa viongozi wa dini siyo wanasiasa. Tena viongozi wa dini wenyewe ni mapadre tu siyo hawa wakwapiaji pesa akina masanja na the so called mitume
 
Tumuombe Mwenyezi Mungu aisaidie Chadema kwani iko katika wakati ngumu wenye majaribu magumu.
Pole sana endelea kujipa faraja hewa. Ingefaa mngejitambua na kuanza kujiombea wenyewe. Nyi ndo mko katika majaribu makubwa, mnaoishi kwa kushindana kuimba mapambio ama sivyo njia ya kwenda maliwato inaota majani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…