Tariq Aziz..mmeshavamiwa unamdanganya Sadam HusseinNi jambo ambalo hata kulifikiria tu ni kuuchosha ubongo bora niwaze hata mechi ya Man U na Chelsea kuliko possibility ya Lisu kushinda Urais ni karibia na sifuri.
Umetumia akili?1)Tunafungua kesi mahakani nchi nzima
.kuwaondoa wabunge wa ccm waliopitishwa kwa rushwa kwenye kura za maoni, uchaguzi utarudiwa
2.) Tutarudia uchaguzi majimbo ambayo waliopitishwa bila kupingwa
3). Tutawafuta wabunge wote ambao ushindi wao umepatikana kwa figisu ikiwa Ni pamoja na kukiukwa kwa sheria na kanuni za uchaguzi
No1-4 tuta fanikiwa kurudisha majimbo kama100 kabla ya december 2020
4 tutaunda serikali ya mseto na ACT wazalendo
Hilo swali najiuliza pia.Wajuze waje watusaidie
Serikali ya mseto je inaruhusiwa kwa mjibu wa katiba iliyopo? Sina hakika.Nadhani kuunda serikali sio tatizo,,kwanza itabidi ateue waziri mkuu kutoka chama chenye wabunge wengi,,labda itakuwa CCM,then mawaziri anaweza kuteua kutoka wabunge wa CHADEMA .Kumbuka pia ana wabunge 10 wa kuteua.Changamoto kubwa iko bungeni,,maana kwa vyovyote vile binge litadhibitiwa na wapinzani wake,na watajaribu kumukwamisha kwa kila namna.Atakuwa na option mbili
1.kufanya maridhiano na chama tawala ili aunde serikali kwa serikali ya mseto
2. Kutumia mahakama kutengua wabunge wote waliopita bila kupingwa ili kukiongezea wabunge chama chake kisha kuendelea na kazi ya kujenga nji
Serikali ya mseto je inaruhusiwa kwa mjibu wa katiba iliyopo? Sina hakika.Nadhani kuunda serikali sio tatizo,,kwanza itabidi ateue waziri mkuu kutoka chama chenye wabunge wengi,,labda itakuwa CCM,then mawaziri anaweza kuteua kutoka wabunge wa CHADEMA .Kumbuka pia ana wabunge 10 wa kuteua.Changamoto kubwa iko bungeni,,maana kwa vyovyote vile binge litadhibitiwa na wapinzani wake,na watajaribu kumukwamisha kwa kila namna.
Na kwanini mtu aumize kichwa kukujibu kitu ambacha hakiwezekani kutokea? Ukweli ninkwamba hashindi.Kwanini usijibu ulichoulizwa?
Je hakuna uwezekano wa kuingia madarakani na kulivunja bunge kabla hajateua waziri mkuu na uchaguzi ukaitishwa upya ili apate wabunge wanaoweza kuunda serikali?Ataunda baraza lake la mawazili, CCM itabid wakubali tuu kwa sababu kama watamgomea waziri mkuu mteule Mara 3 bunge litavunjwa, likivunjwa CCM itapoteza hata hao wabunge watakaokuwa wamewapata wakati chadema wakinufaika kwa sababu system ya nchi itakuwa upande wao
Akili kaweka matakoniUmetumia akili?
Hahaaaaaa daaah unaweza kuwa mtu mzima lakini watoto wakakuzidi akili, kweli unajisifu kbs umeandika kitu Cha maana?Kwa mara ya kwanza tangu tupate mfumo wa vyama vingi CCM umepata mgombea wa Upinzani dhaifu Sana. Asilimia zaidi ya 90 zinakwenda kwa JPM. Amini. Nimeshiriki chaguzi kubwa mbili 2015 na wa 2000. Sijawahibkuona wananchi wakiwa na mapenzi kwa Raisi alikwisha hudumu miaka mitano kama wananchi walivyompenda Magufuli mwaka huu.
Kama wote mnavyo fahamu maranyingi Raisi hupataga wakati mgumu wa kuomba kura katika awamu ya pili ya uongozi nyakati zote. Na tumeshuhudia idadi ya asilimia za kura za Uraisi upungua katika muhura wa pili wa uchaguzi. This time around Magufuli his going to make big surprise. Mala ya kwanza alishinda kwa asilimia 51% 28/10/2020 anakwenda kupokea kura za shukrani zaidi ya 90% ya kura zote.
Jipeni moyo tu, lakini wenye akili wapo pembeni wanaangalia vilaza mnavyohangaika kusifu upuuziJPM anasubiri tu kutangazwa. Huyu Mbelgiji akijitahidi sana anaweza kupata si zaidi ya 15% za kura zote halali.
Hakuna uchaguzi hata mmoja ambapo Wapinzani waliwahi kupata Wabunge wengi japo kuwakaribia CCM. Ukiona chama kimepata Wabunge wengi zaidi ya vyama vingine, ujue hata kura za Urais zitakuwa nyingi zaidi kwa chama hicho.
JPM atapata ushindi zaidi ya 85% katika uchaguzi huu wa 2020.
Kwenye JPM weka LissuJPM anasubiri tu kutangazwa. Huyu Mbelgiji akijitahidi sana anaweza kupata si zaidi ya 15% za kura zote halali.
Hakuna uchaguzi hata mmoja ambapo Wapinzani waliwahi kupata Wabunge wengi japo kuwakaribia CCM. Ukiona chama kimepata Wabunge wengi zaidi ya vyama vingine, ujue hata kura za Urais zitakuwa nyingi zaidi kwa chama hicho.
JPM atapata ushindi zaidi ya 85% katika uchaguzi huu wa 2020.