Italia: Kwa siku ya leo watu 651 wamefariki, Pia Kansela wa Ujerumani yuko karantini

Italia: Kwa siku ya leo watu 651 wamefariki, Pia Kansela wa Ujerumani yuko karantini

Japan ina wazee wengi na ipo karibu na nchi za kwanza kuathirika na Coronavirus lakini waliokufa kwa Coronavirus sio wengi.
Vile vile Germany inawazee karibia sawa na Italy lakini kiwango cha waathirika wa Coronavirus ni ndogo ukilinganisha na Italy!
Italy hawana good healthcare system na sasa hivi ime collapse!


Hili janga Mungu kaamua kuwaonyesha kuwa chochote kinaweza kutokea popote bila kujali rangi, mali wala uzuri!

Mungu aendelee kulilinda bara letu la giza, ingekuwa limeanzia kwetu huku wazungu wangetusema na kutunyanyasa mno!
 
Japan ina wazee wengi na ipo karibu na nchi za kwanza kuathirika na Coronavirus lakini waliokufa kwa Coronavirus sio wengi.
Vile vile Germany inawazee karibia sawa na Italy lakini kiwango cha waathirika wa Coronavirus ni ndogo ukilinganisha na Italy!
Italy hawana good healthcare system na sasa hivi ime collapse!
Tatizo sio huduma nzuri za afya, Italy ni moja ya nchi zenye huduma bora sana dunianj kiafya tatizo liko kwa waitaliano wenyewe nimeshawahi kuweka ki-meme humu kwamba

"The virus was made in China but the Italians will spread it all over the world"

Kuna mji Italy unaitwa Bergamo, ni mji ulioathirika vibaya sana na haya maradhi sehemu zake za kuhifadhia maiti hazipokei tena maiti lakini bado jeshi linapeleka miili kutoka miji mingine na wengi wao wanafia majumbani mwao katika zile siku 14 wanakufa siku ya 10.

Kuna case 35,000 hili ni balaa kwa Italy kutokana na tabia zao, Italians ni social sana wao kwa wao.
Hospital ziko overflowing vitanda havitoshi vya ICU, Doctors and nurses hawana adequate protection hii imepelekea wao wenyewe wahudumu wa afya kuugua corona na cha ajabu wamerudishwa majumbani mwao kuji-quarantine wenyewe just imagine!

Wameanza kuchukua wale professionals waliostaafu na wanafunzi waliomaliza vyuo na kuwatrein chapchap hawa ndio wanaangamia zaidi
SASA CHA KUSTAAJABISHA ZAIDI KINACHOFANYA WAFE KWA WINGI HIVYO NI UKOSEFU WA VITANDA VYA ICU NA VENTILATORS NA WANAOKUFA ZAIDI NI WAZEE so in essence wale wasio wazee wengi wanafia majumbani mwao.

China waliweza kuudhibiti huu ugonjwa ndani ya mji mmoja ila Italy upo all over na Italy hakuna anayeogopa mamlaka watu ni ignorant sana anajua akiwa na kirusi na anazurura atashtakiwa kwa homicide ila bado anazurura, China wanakuchapa risasi.
Mwisho mpaka sasa siamini China idadi ya waliokufa ni ile tu
 
Hivi yule mgonjwa wa kwanza wa corona bongo bado hajaitwa mjengoni kupunga mikono?
 
Ngoja nitafute zangu passport mapema ..hilo gonjwa likiisha tu ..me shaaaa Italy moja iyoo.. Na mimi niwe diyaspora[emoji23][emoji23][emoji23]

Kufa kufaana..


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ngoja nitafute zangu passport mapema ..hilo gonjwa likiisha tu ..me shaaaa Italy moja iyoo.. Na mimi niwe diyaspora[emoji23][emoji23][emoji23]

Kufa kufaana..


Sent using Jamii Forums mobile app

Yaani wewe umewaza kama mimi, Italy kwa sasa wanauhaba wa wafanyakazi hasa wa kujitolea, tena upande wa Manesi na madaktari pesa kama yoote na hivi tulivyo ngozi nyeusi corona itakaa kushoto.
 
Screenshot_20200322-102817~2.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
nchi ya mashoga iyo wacha wafiane kama kuku, manina zao
 
Ni taarifa mbaya ila ni NZURI upande mwingine... Jana vifo vilihit 793!!!!
Nimeandika nzur kwa herufi kubwa ili kuweka msisitizo msinielewe vibaya.

chamuhimu kabisa ni kuweza kuzuia waathirika wapya pamoja kukuza idadi ya waponaji. Lakini vifo havimkimbiliki kwa kweli. Mungu atawasaidia.
 
Back
Top Bottom