Italia: Kwa siku ya leo watu 651 wamefariki, Pia Kansela wa Ujerumani yuko karantini

Italia: Kwa siku ya leo watu 651 wamefariki, Pia Kansela wa Ujerumani yuko karantini

Japan ina wazee wengi na ipo karibu na nchi za kwanza kuathirika na Coronavirus lakini waliokufa kwa Coronavirus sio wengi.
Vile vile Germany inawazee karibia sawa na Italy lakini kiwango cha waathirika wa Coronavirus ni ndogo ukilinganisha na Italy!
Italy hawana good healthcare system na sasa hivi ime collapse!

Vipi kuhusu China wao pia wana poor healthcare?

Tatizo kubwa la Italia ni kua walishindwa kuchukua hatua za haraka, na ndio wengine wengi wamejifunza kwa kupitia kwao.

Walitakiwa wafunge mipaka mapema tu,
Walitakiwa wazuie watu wabaki majumbani kwa kipindi kirefu nyuma. Ila waliachia wakihisi watavuruga shughuli za kimaisha haya ndio madhara yake.
maambukizo ya maradhi yalikua ni mengi sana mitaani huku watu wakiendelea na shughuli kikawaida.
 
Mbona wanokufa ni wachache matangazo kibao. Hivi idadi ya watoto waokufa mahospitali have bongo tukiamua kuwajulisha km wanavyotujulisha si itakuwa balaa.
 
Vipi kuhusu China wao pia wana poor healthcare?

Tatizo kubwa la Italia ni kua walishindwa kuchukua hatua za haraka, na ndio wengine wengi wamejifunza kwa kupitia kwao.

Walitakiwa wafunge mipaka mapema tu,
Walitakiwa wazuie watu wabaki majumbani kwa kipindi kirefu nyuma. Ila waliachia wakihisi watavuruga shughuli za kimaisha haya ndio madhara yake.
maambukizo ya maradhi yalikua ni mengi sana mitaani huku watu wakiendelea na shughuli kikawaida.
Nilikuwa nina mjibu aliyesema Italy Wameathirika kutokana na kuwa wazee wengi.
Nikataka kumwonyesha kuna sababu nyingine zimechangia zaidi ya kuwa na wazee.
Hizo ilizotaja ni moja wapo.
Pia healthcare system yao. Madaktari na nurses wengi wa Italy walikuwa wanakimbia kwenda kufanya kazi nchi nyingine kama UK. Kwa sababu malipo na mazingira magumu.
Kama wangekuwa na good healthcare system ingeshinikiza wana siasa kuchukua hatua mapema.
 
Kuna mdau mmoja kasema kutokana na uchumi mzuri na mifumo imara ya afya Italy, wazee ni wengi sana na ndio wanaoathirika kwa kiasi kikubwa . Sijui usahihi wa hoja hii

Sent using Jamii Forums mobile app
Yukosahihi ,walishamaliza kesi zamagonjwa kama zakwenu huku ndomana watu wanaishi miaka mingi....hivyo miundominu iliyopo haikua kwajili ya covid19 ,hakuna aliyekua amejipanga ,kuhusu uchumi kidogo Italy miaka kadha iliyopita iliyumba sana inawapelekea kushindwa hatakutenga maeneo yamapambanio kama ilivofanya uchina

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi yule mgonjwa wa kwanza wa corona bongo bado hajaitwa mjengoni kupunga mikono?
Mkuu ugojwa huu hatabiriki unaweza kuupata ukapewa dawa ukapona na ukipimwa unaonekana negative, wengine wanakuwa carrier wa ugonjwa huu bila ya wao kuhathirika, wegine wanapona na kuonekana ni negative, lakini baadae wanaugua tena!!

Baada ya mimi kutafakari kwa kina kuhusu ugonjwa huu unavyo enezwa nafikiri ingekuwa vyema kama Serikali ingeweka lockdown nchi nzima kwa siku 21 ili tuwe na uhakaki virusi hivi vimesambaa kwa kiwango gani nchini na muda huo unatosha kuangamiza virusi hivyo naturally kwa kuwa wana sayansi wanasema virusi vina kuwa active hewani kwa masaa matatu, mikononi saa sita, vijiko na vyuma(vitasa, plastic) siku tisa.

Wenzetu walifikia uhamuziwa kusitisha kila kitu na watu waendelea kubaki majumbani mwao kwa siku-21 kutokana na kuwa na uhakika kwamba kama hapata kuwepo maambukizi mapya kutoka nchi za nje basi ndani ya siku-21 hakuna kirusi kitakacho baki nchini kikikosa host na vector (mikono) ya kuvisambaza- mbinu hii ndio mwarobaini wa coronavirus - Warusi, Afrika kusini, Ujerumani, India si wajinga kufikia uhamuzi huo, watanusuru mamillion wa raia wao, na sisi tusichelewe kufikia mahamuzi magumu, after all Watanzania tuliwahi kupitia wakati mgumu wakati wa vita - sioni kama tutashindwa kuvumilia siku 21 za lockdowm ambayo itanusuru mamillion ya raia, tuta athirika kiuchumi kwa kiwango kidogo but at the end of the day we gonna save many lives - Rais ni mwana sayansi sina shaka yeye na team yake watanielewa - tusichelewe jamani.
 
Idadi ya vifo vinavyotokana na #Covid19 imeendelea kuongezeka huko Ulaya, kwa sasa Italia imetangaza kuwa na vifo 651 kwa siku moja, idadi inayopelekea vifo ndani ya Italia kufikia 5,476

Pia Kansela wa Ujerumani, Angela Merkel amejiweka karantini mwenyewe baada ya kuchangamana na daktari aliyegundulika kuwa na #Covid19

Zaidi soma

Italy coronavirus deaths at 5,476 after 651 rise: Live updates

Death toll from coronavirus outbreak in Italy increases 13.5 percent as no sign of let up in killer contagion.

The death toll from the coronavirus pandemic continued its relentless rise in Europe on Sunday with Italy announcing 651 dead in one day, bringing its total to 5,476.

It was an increase of 13.5 percent but down from Saturday's figure when 793 people died.
The Canadian death toll from the coronavirus outbreak jumped almost 50 percent in less than a day, and the mayor of New York City - the US epicentre of the contagion - called the situation the greatest crisis since the Great Depression and warned hospitals would likely be overwhelmed in 10 days.

Globally, more than 13,000 people have now died from COVID-19. An estimated 92,000 of the 304,500 people who contracted the disease globally have recovered.

Source: Aljazeera
Al Jazeera hawana tofauti na magazeti ya Musiba

Ndani ya Itally vifo jumla ni 7,503
Screenshot_20200325-223414.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maasi duniani yamekua mengi sana, watu wanazulumiana sana, kuuwana bila sababu, kupokonyana mali, uzinifu ndoa za jinsia moja nk, Adhabu anayoileta Mungu hua haichagui, malipo zaidi ni akhera kila mmoja atabeba mzigo wake , HIO NI MFANO WA ADHABU TU, KILA MTU ANAJIFUNGIA NDANI DUNIA NZIMA HOFU, BINAADAMU TUACHE UBISHI TUMRUDIE MUNGU

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom