Urusi na nchi za Scandinavia je?
Hawa watu wataisha sasa
Kesho wanaweza fika 1000 per day
Na bahati mbaya zaidi hata madaktari na wauguzi wakufa kwa idadi kubwa sana
Kama ni kweli Gene zetu zipo strong zaidi ya zao they have to date with us😜Waafrika na waarabu ndio wamekomaa.
Hatari.Leo Italy ndani ya 24 hrs amerekodi vifo 700+ wakati Jana aliliport vifo 600+View attachment 1395364View attachment 1395365
Sent using Jamii Forums mobile app
Dahhh... Inasikitisha sanaItaly....naona malaika mkata kamba ameweka kambi...mpaka sasa hivi within 24 hour wameshakufa watu zaid ya 778....halafu huku kwetu unamsikia mpuuzi mmoja anasema hayo ni mafua ya kawaida tu...
Shenzy kabisa...mpka kesho watakuwa wamefika 1000..Mungu tuepushie na hili janga...
tanzania wameshafika 12Hatar mno...spain usiku wa kuamkia leo new death 700+ .....italy up to now new death 800+....but my Tanzania no death and no new cases...we were able to control and remain with only 6 cases...Mungu ashukuriwe
Wangapi wamepona na kurudi nyumbani