Italia yaipiku China kwa idadi ya vifo vitokanavyo na ugonjwa wa Covid 19

Italia yaipiku China kwa idadi ya vifo vitokanavyo na ugonjwa wa Covid 19

Ooh my kwa siku watu 600 sio kispot spot mjue hapo kuna watu wa kila namna wazee,vijana,watoto....duh mi nahisi hili game kwa Africa halija changanya tu.au na sisi ni muda wa kula bata Maana enzi za ngwengwe aka ngoma wakati imechanganya kuna baadhi ya nchi za Africa watu walikuwa wanakufa zaidi ya hao kwa siku.
 
Leo Italy ndani ya 24 hrs amerekodi vifo 700+ wakati Jana aliliport vifo 600+
Screenshot_20200321-202013.jpeg
tapatalk_1584605051986.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanao idharau korona wajitafakari,inatia huzuni sana,watu wanakufa sana na huu ugonjwa,Italy ameshindwa kupambana nao, aombe msaada wa nchi zingine,Spain naye anatapatapa sana
Hawa watu wataisha sasa
Kesho wanaweza fika 1000 per day
Na bahati mbaya zaidi hata madaktari na wauguzi wakufa kwa idadi kubwa sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Italy....naona malaika mkata kamba ameweka kambi...mpaka sasa hivi within 24 hour wameshakufa watu zaid ya 778....halafu huku kwetu unamsikia mpuuzi mmoja anasema hayo ni mafua ya kawaida tu...

Shenzy kabisa...mpka kesho watakuwa wamefika 1000..Mungu tuepushie na hili janga...
 
Dahhh... Inasikitisha sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna wa kumsaidia mwenzake kila mmoja anapambana
Sa hivi balaa zaidi limepiga kambi Marekani, jana 7,000+ new cases
 
Hatar mno...spain usiku wa kuamkia leo new death 700+ .....italy up to now new death 800+....but my Tanzania no death and no new cases...we were able to control and remain with only 6 cases...Mungu ashukuriwe
 
Wamefanya kila liwezekanalo
 
Attachments

  • IMG_20200322_093648.jpg
    IMG_20200322_093648.jpg
    75.2 KB · Views: 1
Back
Top Bottom