Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
weakeness of gene mzee wale ni wadhaifu sana bilogically sasa ina bidi muaminiDaaah hv n kwamba hawa wazungu wameshindwa kufuata njia hz za kujikinga tunazosisitizwa wabongo or kunasababu tofauti....?
Kitu kibaya wanaoreport hizi habari ni US ambao ni rival wa china. Kunaweza kuwa na ukweli au kusiwe na ukweli.China wamewauwa wengi sana kwa makusudi
Wengi wamefungiwa ndani tena mpaka madirisha yamepigwa seal kabisa na hakuna kutoka wafe kwa njaa
Wanaokaidi wanapigwa sana
China hawana msalie hao ni kuuwa tu
Sent from my iPhone using Tapatalk
Baadhi ya madaktari walioletwa wuhan wamesharuhusiwa. Na pia tumeona China akitoa msaada wa madaktari na vifaa kwa nchi kama Italy.Mfano sasa hivi China wanadai kuwa maisha yamerudi kama kawaida! Ni uongo mtupu, wanaficha takwimu ili uchumi usizidi kuporomoka!
Kitu kibaya wanaoreport hizi habari ni US ambao ni rival wa china. Kunaweza kuwa na ukweli au kusiwe na ukweli.
Sent using Jamii Forums mobile app
Africa tu ndio haijaathirika sana na huu ugonjwa
Kesi zetu ni tofauti na wenzetu
Mungu atusaidie na hili janga
Sent from my iPhone using Tapatalk
Mungu anatulinda sana ALHAMDULILLAH
Always trust yr self.
Mbona wanaopata corona hapa kwetu wanapona au sie tuna dawa?
Halafu huu ugonjwa wa macelebrate tu mbona makapu hapa sijasikia hata mmoja kapata
Sent using Jamii Forums mobile app
Toa data unazozijua wewe
Nanyie Mkakubali Kudanganyika [emoji3][emoji16][emoji12][emoji14][emoji12]