Joh Nee
Member
- Mar 11, 2020
- 9
- 6
Shida ngeli kaka..๐๐๐Google utapata details nyingi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shida ngeli kaka..๐๐๐Google utapata details nyingi
Haha mkuu ni cha kawaida sana mimi mbona nilielewa... Sio kama cha wenye sifa wa jfShida ngeli kaka..๐๐๐
Inasikitisha sana!!!Leo tu watu 600+:wamekufa ,mungu awasaidie hawa watuView attachment 1394179
Sent using Jamii Forums mobile app
Inasikitisha sana!!!
Dah hili dude likiikamata vizuri nchi ni shida... Majuzi kipindi italy vifo vipo 200+ kwa siku niliona majeneza yanahifadhiwa hadi kanisani...leo hii ni 600+!!!! Sijui hali ipoje aisee... Naona hata spain wanaelekea huko sababu juzijuzi tu nao vifo vilikuwa 70+ per day leo wanachezea mbali!Hawa ndugu zetu wanahitaji msaada wa dharura,pia Spain naye ana hali mbaya sana Jana niliona watu wanalalamika kwa kutimuliwa hospitalini wale wote ambao hawana critical conditions licha ya kuwa na maambukizi,uone ni jinsi gani kuuzuia ugonjwa huu ilivyo ngumu
Sent using Jamii Forums mobile app
wastan wa kila dakika kumi wanakufa watu wa nneLeo tu watu 600+:wamekufa ,mungu awasaidie hawa watuView attachment 1394179
Sent using Jamii Forums mobile app
Kulinganisha na Ujerumani na Hispania, Irani na Korea kusini wanafanya vizuri, ukichukulia wao walikuwa namba mbili na tatu wiki iliyopita..Hizi ni takwimu za leo
Hayupo aliyekufaTanzania tangu imeingia ni wiki mbili sasa,, wameshakufa wangapi? Updates plz
Ishara nzuri, kama wengine kwa Siku zaidi ya 100,, huku wiki mbili hata mmoja? ๐๐Hayupo aliyekufa
Ila tukijiachia sana ndo wanaanzaga hivihivi.... Tahadhari ni muhimu.I
Ishara nzuri, kama wengine kwa Siku zaidi ya 100,, huku wiki mbili hata mmoja? ๐๐
Nashangaa kanisa katoliki wako kimya mpaka sahv.
Au wanataka mpaka PAPA afe ndo watoe tamko la kukemea korona
Sent using Jamii Forums mobile app