Italia yaipiku China kwa idadi ya vifo vitokanavyo na ugonjwa wa Covid 19

Taarifa nyingi za china Kuhusu Corona virus hazikuwekwa wazi zote, Kuna uwezekano wa vifo vingi zaidi kuliko vifo vilivyokua vikiripotiwa wakati huo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Taarifa nyingi za china Kuhusu Corona virus hazikuwekwa wazi zote, Kuna uwezekano wa vifo vingi zaidi kuliko vifo vilivyokua vikiripotiwa wakati huo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Unaushahidi kiasi gani kama taharifa walizo toa china hazikua sahihi.? Au ndio mahabaniue.? Inakuaje unatumia kichwa chako kuwana au kuamua kua habari za upande mmoja ziko sahihi na usiziamini na zaupande mwingine wakatu haujazipata izo habari kutoka ktk vyombo ambavyo ni neutral.? Unauhakika gani na habari wanazo zitoa us au italy kuani za kweli 100% .? Umetumia chombo gani cha habri kujua habari za china ni za uongo na zawatu wa magharibi ni zaukweli.? Au kwakua wanatangaza namba kubwa ya watu walio kufa ndio sababu ya kusema wachina ni waongo.?

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Waliwapima watu wote waliopata virusi?
 
Kwetu wamefika wangapi!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…