digba sowey
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 8,926
- 17,880
- Thread starter
- #201
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Taarifa nyingi za china Kuhusu Corona virus hazikuwekwa wazi zote, Kuna uwezekano wa vifo vingi zaidi kuliko vifo vilivyokua vikiripotiwa wakati huo.Hii ni hatari sasa Italy imeipiku China kwa idadi ya vifo baada ya leo vifo 400+ kuongezeka.
Hivi sababu pekee ni kuwa Italy wana idadi kubwa ya wazee? Najiuliza sehemu zingine za ulaya mbona hapapo hivyo.... Au kuna sehemu walienda wrong....All in all tusiwabeze sana coz huku kwetu ndo imepiga hodi.
God bless Italy
God bless Africa
God Tanzania
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaushahidi kiasi gani kama taharifa walizo toa china hazikua sahihi.? Au ndio mahabaniue.? Inakuaje unatumia kichwa chako kuwana au kuamua kua habari za upande mmoja ziko sahihi na usiziamini na zaupande mwingine wakatu haujazipata izo habari kutoka ktk vyombo ambavyo ni neutral.? Unauhakika gani na habari wanazo zitoa us au italy kuani za kweli 100% .? Umetumia chombo gani cha habri kujua habari za china ni za uongo na zawatu wa magharibi ni zaukweli.? Au kwakua wanatangaza namba kubwa ya watu walio kufa ndio sababu ya kusema wachina ni waongo.?Taarifa nyingi za china Kuhusu Corona virus hazikuwekwa wazi zote, Kuna uwezekano wa vifo vingi zaidi kuliko vifo vilivyokua vikiripotiwa wakati huo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaushahidi kiasi gani kama taharifa walizo toa china hazikua sahihi.? Au ndio mahabaniue.? Inakuaje unatumia kichwa chako kuwana au kuamua kua habari za upande mmoja ziko sahihi na usiziamini na zaupande mwingine wakatu haujazipata izo habari kutoka ktk vyombo ambavyo ni neutral.? Unauhakika gani na habari wanazo zitoa us au italy kuani za kweli 100% .? Umetumia chombo gani cha habri kujua habari za china ni za uongo na zawatu wa magharibi ni zaukweli.? Au kwakua wanatangaza namba kubwa ya watu walio kufa ndio sababu ya kusema wachina ni waongo.?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwan Virusi Viliwapata Watu Wote !?Waliwapima watu wote waliopata virusi?
Kwan Virusi Viliwapata Watu Wote !?
Sent using My COVID-19
Kwetu wamefika wangapi!?Italy....naona malaika mkata kamba ameweka kambi...mpaka sasa hivi within 24 hour wameshakufa watu zaid ya 778....halafu huku kwetu unamsikia mpuuzi mmoja anasema hayo ni mafua ya kawaida tu...
Shenzy kabisa...mpka kesho watakuwa wamefika 1000..Mungu tuepushie na hili janga...
13Kwetu wamefika wangapi!?
Anauliza maswali ambayo hayaeleweki wala hayana mantikiHahahahaha [emoji23] mkuu nimecheka ulivyomuuliza, hawa jamaa kwa ubishi
Sent using Jamii Forums mobile app