Italy hali yazidi kuwa mbaya: Kabla hujalala tumia walau dakika moja kuwaombea kwa Mungu

Kwa hiyo uwezo wako wa kufikiria umeishia hapo?

Kwa hiyo kuzaana ni kosa ? Au imeandikwa wapi kuzaana ni kosa?

Au wewe umeokotwa huna baba,mama wala koo zitokanazo na wazazi wako? Au hawana thamani mbele ya macho yako?
 
Mkuu nimekitafuta ulivyosema hivyo, nafikiri ni hiki kilichoandikwa na Alistair Maclean na nimekipakua tyr

Nitakisoma ili nielewe behind the scenes.
 
Vipi we hujazaliwa??

Jinga..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mungu awasaidie kwa kweli.

Mungu alisuru taifa la Tanzania na Africa kwa ujumla.

Yani ujasiri wa kuishi kwa usalama haupo duniani tena!
Shetani na malaika wanapokutana JF

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Mkuu naomba na mm pm hyo video nione
 
Hahahaha mkuu punguza tungi
Sent from my JSN-L21 using JamiiForums mobile app
 
Huko kuflatern the curve kumewasaidia nini mpaka sasa hv??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Angebadiri[emoji735]
Angebadili[emoji3514]

Wapuuzi kama wewe mnaniudhi sana, kuandika tu hujui halafu eti unamshauri raisi.
Stupid
ni makosa ya madogomadogo si kila mtu mwandishi mzuri, hiyo raisi uliyoandika ndiyo inaandikwa hivyo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…