Aladeen04
JF-Expert Member
- Sep 6, 2016
- 3,524
- 5,731
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo uwezo wako wa kufikiria umeishia hapo?Wataokufa na wafe. Hakuna namna!
Dunia itaendelea na watakaobaki!
Tena hii kasi ya vifo ingehamia Africa tupunguze idadi ya watu ili dunia iwe stabilized kwa uwiano sahihi wa watu na rasilimali.
Mijitu inazaa zaa hovyo tu usiku na mchana!
Dunia inazidi kuwa finyu na ngumu kwa ajili ya umati wa watu wanaotumia na kukomba kila kilichomo!
Mkuu nimekitafuta ulivyosema hivyo, nafikiri ni hiki kilichoandikwa na Alistair Maclean na nimekipakua tyrKuna kitabu kimoja kinaitwa,SATAN BUG,,yaani ukikisoma hicho ndo utajua hatari ya biological weapons,,yaani Bora silaha za kikemikali baada ya kupigwa baadae Hali inakua clear.satan bug kijiko kimoja tu kikiachiliwa,nusu ya wanadamu duniani wanapotea within one month
Vipi we hujazaliwa??Wataokufa na wafe. Hakuna namna!
Dunia itaendelea na watakaobaki!
Tena hii kasi ya vifo ingehamia Africa tupunguze idadi ya watu ili dunia iwe stabilized kwa uwiano sahihi wa watu na rasilimali.
Mijitu inazaa zaa hovyo tu usiku na mchana!
Dunia inazidi kuwa finyu na ngumu kwa ajili ya umati wa watu wanaotumia na kukomba kila kilichomo!
Wataokufa na wafe. Hakuna namna!

Shetani na malaika wanapokutana JFMungu awasaidie kwa kweli.
Mungu alisuru taifa la Tanzania na Africa kwa ujumla.
Yani ujasiri wa kuishi kwa usalama haupo duniani tena!
Mie nawaombea sana. Yaani nikiangalia watoto wanavyopigania uhai (kupumua kwa shida) harafu navuta hisia kama ndo mwanangu hadi machozi yanatoka. Kuna Msouth yuko Belgium ananitumia clip za wagojwa aisee unaweza fikiri ni Movie kumbe kweli kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mijitu inazaa zaa hovyo tu usiku na mchana!
Mkuu siwezi kutoa mawasiliano yangu kwa usalama wangu na wako. Sorry buddyMkuu naomba na mm pm hyo video nione
Shetani hajawah mshinda Mungu.
Wataokufa na wafe. Hakuna namna!
Dunia itaendelea na watakaobaki!
Tena hii kasi ya vifo ingehamia Africa tupunguze idadi ya watu ili dunia iwe stabilized kwa uwiano sahihi wa watu na rasilimali.
Mijitu inazaa zaa hovyo tu usiku na mchana!
Dunia inazidi kuwa finyu na ngumu kwa ajili ya umati wa watu wanaotumia na kukomba kila kilichomo!
Huko kuflatern the curve kumewasaidia nini mpaka sasa hv??WASHA TV yako international news usikie wahanga wa Corona, ndugu na jamaa zao wanahojiwa, hakuna mtu kwao uzunguni huko anaongelea kuomba Mungu!!!
Wanaongela vitu kama ku flaten the curve!
Yani mkakati wa mahesabu ya kisayansi wa ku slow down mlipuko wakati wanatafuta dawa. Nobody is talking about solving a cataclysmic pandemic through prayers!
Waafrika mkoje nyie vichwani ???
Ugiriki ina wazee wengi mbona hatuwasikii>??Reason behind for the High rate of death for Italy is high number of aged people.
23.1% of Italy population is aged people this means that above 13,000,000
Sent using Jamii Forums mobile app
Kasema pm na siyo kupitia namba za simuMkuu siwezi kutoa mawasiliano yangu kwa usalama wangu na wako. Sorry buddy
Sent using Jamii Forums mobile app
Reason behind for the High rate of death for Italy is high number of aged people.
23.1% of Italy population is aged people this means that above 13,000,000
Sent using Jamii Forums mobile app
Ugonjwa hauna tibaAisee hatari Sana
.
Hivi kwanini huko ugonjwa unaua Sana pamoja na miundombinu mizuri ya afya waliyo nayo
Ni nini hatma yetu huku pangu pakavu ?
ni makosa ya madogomadogo si kila mtu mwandishi mzuri, hiyo raisi uliyoandika ndiyo inaandikwa hivyo!Angebadiri[emoji735]
Angebadili[emoji3514]
Wapuuzi kama wewe mnaniudhi sana, kuandika tu hujui halafu eti unamshauri raisi.
Stupid
Sababu ya maambukizi mapya kuongezeka kila siku ni niniReason behind for the High rate of death for Italy is high number of aged people.
23.1% of Italy population is aged people this means that above 13,000,000
Sent using Jamii Forums mobile app
Watu wamejipindia zaoUpuhuzi! Yaani ukawaombee kwa Mungu watu wanaoishi na kaburi la Petro pamoja na kuishi na Papa?