Italy hali yazidi kuwa mbaya: Kabla hujalala tumia walau dakika moja kuwaombea kwa Mungu

sasa watu wote hawa wanawazika wapi kwa wakati mmoja ????
 
acha wavune walichopanda ...
 
Wewe ni mjinga kweli uchaguzi uko mwezi October huko unaathiriwa vipi na Corona ya mwezi March ?
Sisi tumeaminishwa ni ka upepo tu katapita.

Na kutuchanganya zaidi tukaahidiwa kimagumashi magumashi, uchaguzi mkuu uko palepale.

Uchaguzi mkuu wanini wakuu? Kwanini hiyo budget isiwe reallocated kuokoa watu huku ambako tayari wenzetu wananyolewa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah nimeandika nikafuta.... basi una Uhuru wa kutoa maoni
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah nimeandika nikafuta.... basi una Uhuru wa kutoa maoni

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio hivyo mkuu! Hii ni balance of nature!

Dunia haiwezi kubeba mabilioni ya watu!

Umati wa watu unaleta magonjwa na njaa! Mpaka wengine wanaanza kula popo na wadudu.

Kisha magonjwa yanawarudia na kuwamaliza!

This is how nature balances itself!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…