Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,372
- 54,943
Tutakufa hakuna namna.Inahuzunisha sana. Sijui ikifika zamu yetu itakuwaje. Its scary
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tutakufa hakuna namna.Inahuzunisha sana. Sijui ikifika zamu yetu itakuwaje. Its scary
😀 😀 😀 😀Unaangua kwenye mti gani??
Huko ni kupuputikaJioni tu hapa natazama taarifa za vifo nakuta wamekufa 24 elfu baada ya masaa mawili wamefika 26000 dah.!
Rais siyo raisi. Na wewe jifunze kuandika.Angebadiri[emoji735]
Angebadili[emoji3514]
Wapuuzi kama wewe mnaniudhi sana, kuandika tu hujui halafu eti unamshauri raisi.
Stupid
sasa watu wote hawa wanawazika wapi kwa wakati mmoja ????Pamoja na hatua zote walizochukua hali bado ni tete sana. Siku ya leo tu watu 919 wamefariki kutokana na corona. Badala ya idadi ya vifo kupungua inazidi kuongezeka kila siku, pls kabla hujalala tumia hata dakika moja kuwaombea kwa Mungu awasaidieView attachment 1401142
acha wavune walichopanda ...Pamoja na hatua zote walizochukua hali bado ni tete sana. Siku ya leo tu watu 919 wamefariki kutokana na corona. Badala ya idadi ya vifo kupungua inazidi kuongezeka kila siku, pls kabla hujalala tumia hata dakika moja kuwaombea kwa Mungu awasaidieView attachment 1401142
JPM angebadiri msimamo kwa muda kuangalia matokeo ya nchi jirani, hii kujiaminisha corona ni kama mafua tunajiweka kwenye risk
Tukuthibitishiaje yani
Sisi tumeaminishwa ni ka upepo tu katapita.
Na kutuchanganya zaidi tukaahidiwa kimagumashi magumashi, uchaguzi mkuu uko palepale.
Uchaguzi mkuu wanini wakuu? Kwanini hiyo budget isiwe reallocated kuokoa watu huku ambako tayari wenzetu wananyolewa?
Acha ujinga,Tena mwakilishi wa Mungu duniani na anamamlaka ya kusamehe dhambi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Uzee ni risk factor sio sababu ya kufa kwa covid19.Mkuu kwa taarifa yako wanakufa mpaka vijana . Ufaransa kuna mtoto wa 16yrs kavuta huko.. tena alikuwa. Hana tatizo lolote za kiafya..
Sent using Jamii Forums mobile app
Wataokufa na wafe. Hakuna namna!
Dunia itaendelea na watakaobaki!
Tena hii kasi ya vifo ingehamia Africa tupunguze idadi ya watu ili dunia iwe stabilized kwa uwiano sahihi wa watu na rasilimali.
Mijitu inazaa zaa hovyo tu usiku na mchana!
Dunia inazidi kuwa finyu na ngumu kwa ajili ya umati wa watu wanaotumia na kukomba kila kilichomo!
Ndio hivyo mkuu! Hii ni balance of nature!