Mbolabilika
JF-Expert Member
- Jul 30, 2019
- 2,128
- 2,867
Upuhuzi! Yaani ukawaombee kwa Mungu watu wanaoishi na kaburi la Petro pamoja na kuishi na Papa?
anajiita/wanamuita mwakilishi wa mungu duniani na mpatanishi mkuu
Mungu anasikia maombi mtu kujiombea yy siyo maombi ya wewe kumuombea mtu. Wewe endelea kujiombea mungu akuepushe na janga hili.Pamoja na hatua zote walizochukua hali bado ni tete sana. Siku ya leo tu watu 919 wamefariki kutokana na corona. Badala ya idadi ya vifo kupungua inazidi kuongezeka kila siku, pls kabla hujalala tumia hata dakika moja kuwaombea kwa Mungu awasaidieView attachment 1401142
Mpaka katikat ya April matarajio tutakuwa na vifo kama 200kNdani ya mwezi huu watu elfu 23 wamefariki dunia yote.
Mpaka april 1 huenda dunia yote vifo vikafika 30k+ maana kwa hesabu za haraka watu zaidi ya 1500 huenda kila siku wanafariki.
Walichelewa. Kinachotokea sasa wanaambukizana wenyewe kwa wenyewe hukohuko ndani. Inaonekana wangezembea tena kidogo tu basi baada ya miezi mitatu kina G Sam tungeombwa tukaianzishe upya nchi ya Italy. Wewe msikilize hawafu kama hajaanzisha kaitaly kengine ka Corona hapa Tz.Ili swala limekaaje je watu wanaokufa wanatoka wapi kama watu wamefungiwa ndani na maambukizi kwanini yanaongezeka? inamaana wanaokufa wanatoka wapi? kama wanatoka ndani je usalama wa wale walio nao ndani upoje?
Nimekuelewa!hapa kijijini baridi kali la asubuhi, katoto ka miaka 5 kana mafua makali na kikohozi pua zinatoa kamasi, kamevaa kaptura na kishati kimechanika mgongoni hakana wasiwasi wakati huko ulipotaja mtu aliwa na mafua tu anaomba ED kazini haendi! Kujibu swali lako hao wenzetu miili yao ni dhaifu mno!
Naamini korona hapa nchini kuna watu wengi tayari wana maambukizi ili ni "ukomavu" wa miili yetu ndio unatubeba!
Ngoja tungoje kusajiliwa Italy kama RAIA wemaWalichelewa. Kinachotokea sasa wanaambukizana wenyewe kwa wenyewe hukohuko ndani. Inaonekana wangezembea tena kidogo tu basi baada ya miezi mitatu kina G Sam tungeombwa tukaianzishe upya nchi ya Italy. Wewe msikilize hawafu kama hajaanzisha kaitaly kengine ka Corona hapa Tz.
Walifanya uzembe siku za mwanzo. Wamekuja kuchukua hatua ikiwa ni too late.Ili swala limekaaje je watu wanaokufa wanatoka wapi kama watu wamefungiwa ndani na maambukizi kwanini yanaongezeka? inamaana wanaokufa wanatoka wapi? kama wanatoka ndani je usalama wa wale walio nao ndani upoje?
Corona imeshaua waafrika kibao japo maambukizi ni chini ya elfu 4..Huko kwa wenzetu unazungumzia maambukizi ya 400K. Halafu huyu mdudu bado hajaenea Afrika kama watu mnavyosema eti tunaumwa na kupona. Huyu mdudu asingekuwa hatari tusingesikia vifo. Bado hajaenea aisee. Na naomba nikueleweshe hakuna miili yenye kinga imara kama ya wenzetu wachina lakini corona imewapukutisha.hapa kijijini baridi kali la asubuhi, katoto ka miaka 5 kana mafua makali na kikohozi pua zinatoa kamasi, kamevaa kaptura na kishati kimechanika mgongoni hakana wasiwasi wakati huko ulipotaja mtu aliwa na mafua tu anaomba ED kazini haendi! Kujibu swali lako hao wenzetu miili yao ni dhaifu mno!
Naamini korona hapa nchini kuna watu wengi tayari wana maambukizi ili ni "ukomavu" wa miili yetu ndio unatubeba!
Hata hivyo lazima wawepo watu wa kwenda kujaza population iliyoondokaWalichelewa. Kinachotokea sasa wanaambukizana wenyewe kwa wenyewe hukohuko ndani. Inaonekana wangezembea tena kidogo tu basi baada ya miezi mitatu kina G Sam tungeombwa tukaianzishe upya nchi ya Italy. Wewe msikilize hawafu kama hajaanzisha kaitaly kengine ka Corona hapa Tz.
Naona unajipigia debe mkuu.Hata hivyo lazima wawepo watu wa kwenda kujaza population iliyoondoka
Ungekuwa na busara usingeuliza hili swali...Ili swala limekaaje je watu wanaokufa wanatoka wapi kama watu wamefungiwa ndani na maambukizi kwanini yanaongezeka? inamaana wanaokufa wanatoka wapi? kama wanatoka ndani je usalama wa wale walio nao ndani upoje?
Waafrika wa "uswahilini" au wa "ushuani" akiwemo yule mama aliyekuwa anasumbuliwa na kisukari?Corona imeshaua waafrika kibao japo maambukizi ni chini ya elfu 4..Huko kwa wenzetu unazungumzia maambukizi ya 400K. Halafu huyu mdudu bado hajaenea Afrika kama watu mnavyosema eti tunaumwa na kupona. Huyu mdudu asingekuwa hatari tusingesikia vifo. Bado hajaenea aisee. Na naomba nikueleweshe hakuna miili yenye kinga imara kama ya wenzetu wachina lakini corona imewapukutisha.