Mbolabilika
JF-Expert Member
- Jul 30, 2019
- 2,128
- 2,867
Hahahaha akilala akiamka akisema kuanzia Leo duniani kote tutasali hivi bc anafuatwa Kuna haja gani ya kupoteza dakika yako 1 kuombea watu Kama hao wakati wana mungu wao wanaomfuata
Sent using Jamii Forums mobile app
Upuhuzi! Yaani ukawaombee kwa Mungu watu wanaoishi na kaburi la Petro pamoja na kuishi na Papa?
Sent using Jamii Forums mobile app