Italy hali yazidi kuwa mbaya: Kabla hujalala tumia walau dakika moja kuwaombea kwa Mungu

Pamoja na hatua zote walizochukua hali bado ni tete sana. Siku ya leo tu watu 919 wamefariki kutokana na corona. Badala ya idadi ya vifo kupungua inazidi kuongezeka kila siku, pls kabla hujalala tumia hata dakika moja kuwaombea kwa Mungu awasaidieView attachment 1401142
Mungu anasikia maombi mtu kujiombea yy siyo maombi ya wewe kumuombea mtu. Wewe endelea kujiombea mungu akuepushe na janga hili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndani ya mwezi huu watu elfu 23 wamefariki dunia yote.
Mpaka april 1 huenda dunia yote vifo vikafika 30k+ maana kwa hesabu za haraka watu zaidi ya 1500 huenda kila siku wanafariki.
Mpaka katikat ya April matarajio tutakuwa na vifo kama 200k
 
Ili swala limekaaje je watu wanaokufa wanatoka wapi kama watu wamefungiwa ndani na maambukizi kwanini yanaongezeka? inamaana wanaokufa wanatoka wapi? kama wanatoka ndani je usalama wa wale walio nao ndani upoje?
Walichelewa. Kinachotokea sasa wanaambukizana wenyewe kwa wenyewe hukohuko ndani. Inaonekana wangezembea tena kidogo tu basi baada ya miezi mitatu kina G Sam tungeombwa tukaianzishe upya nchi ya Italy. Wewe msikilize hawafu kama hajaanzisha kaitaly kengine ka Corona hapa Tz.
 
hapa kijijini baridi kali la asubuhi, katoto ka miaka 5 kana mafua makali na kikohozi pua zinatoa kamasi, kamevaa kaptura na kishati kimechanika mgongoni hakana wasiwasi wakati huko ulipotaja mtu aliwa na mafua tu anaomba ED kazini haendi! Kujibu swali lako hao wenzetu miili yao ni dhaifu mno!

Naamini korona hapa nchini kuna watu wengi tayari wana maambukizi ili ni "ukomavu" wa miili yetu ndio unatubeba!
 
Nimekuelewa!
 
Naanza kuamini inawezekana Wa Africa miili yetu ishatengeneza Anti bodies za kupambana na hawa Virus..
Nimejaribu ku Google Spanish Flu iliua watu wangapi Africa nimekosa Data
Mwenye nazo aziweke hapa

Pia kuwafungia watu ndani sio solution,sio kila measure ni ya kuiga
Spanish Flu ilidumu miaka 2,inamaana watu wakae ndani miaka 2

Haya ni maoni tu
Can You Become Immune to the Coronavirus?
 
Lockdown za Italy zilikuwa laini sana, watu bado walikuwa wanatoka nje tu
.Lockdown effective ni zile za China, ambazo zilikuwa zinapigiwa kelele eti zinakiuka haki za binadamu

Ulaya lockdown zao laini sana, mfano Ufaransa eti mtu ukikutwa unapigwa faini ya dola 150, ambayo ni hela ndogo sana kwa mazingira ya kule

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Walichelewa. Kinachotokea sasa wanaambukizana wenyewe kwa wenyewe hukohuko ndani. Inaonekana wangezembea tena kidogo tu basi baada ya miezi mitatu kina G Sam tungeombwa tukaianzishe upya nchi ya Italy. Wewe msikilize hawafu kama hajaanzisha kaitaly kengine ka Corona hapa Tz.
Ngoja tungoje kusajiliwa Italy kama RAIA wema

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ili swala limekaaje je watu wanaokufa wanatoka wapi kama watu wamefungiwa ndani na maambukizi kwanini yanaongezeka? inamaana wanaokufa wanatoka wapi? kama wanatoka ndani je usalama wa wale walio nao ndani upoje?
Walifanya uzembe siku za mwanzo. Wamekuja kuchukua hatua ikiwa ni too late.
 
hapa kijijini baridi kali la asubuhi, katoto ka miaka 5 kana mafua makali na kikohozi pua zinatoa kamasi, kamevaa kaptura na kishati kimechanika mgongoni hakana wasiwasi wakati huko ulipotaja mtu aliwa na mafua tu anaomba ED kazini haendi! Kujibu swali lako hao wenzetu miili yao ni dhaifu mno!

Naamini korona hapa nchini kuna watu wengi tayari wana maambukizi ili ni "ukomavu" wa miili yetu ndio unatubeba!
Corona imeshaua waafrika kibao japo maambukizi ni chini ya elfu 4..Huko kwa wenzetu unazungumzia maambukizi ya 400K. Halafu huyu mdudu bado hajaenea Afrika kama watu mnavyosema eti tunaumwa na kupona. Huyu mdudu asingekuwa hatari tusingesikia vifo. Bado hajaenea aisee. Na naomba nikueleweshe hakuna miili yenye kinga imara kama ya wenzetu wachina lakini corona imewapukutisha.
 
Walichelewa. Kinachotokea sasa wanaambukizana wenyewe kwa wenyewe hukohuko ndani. Inaonekana wangezembea tena kidogo tu basi baada ya miezi mitatu kina G Sam tungeombwa tukaianzishe upya nchi ya Italy. Wewe msikilize hawafu kama hajaanzisha kaitaly kengine ka Corona hapa Tz.
Hata hivyo lazima wawepo watu wa kwenda kujaza population iliyoondoka
 
Ili swala limekaaje je watu wanaokufa wanatoka wapi kama watu wamefungiwa ndani na maambukizi kwanini yanaongezeka? inamaana wanaokufa wanatoka wapi? kama wanatoka ndani je usalama wa wale walio nao ndani upoje?
Ungekuwa na busara usingeuliza hili swali...
 
Corona imeshaua waafrika kibao japo maambukizi ni chini ya elfu 4..Huko kwa wenzetu unazungumzia maambukizi ya 400K. Halafu huyu mdudu bado hajaenea Afrika kama watu mnavyosema eti tunaumwa na kupona. Huyu mdudu asingekuwa hatari tusingesikia vifo. Bado hajaenea aisee. Na naomba nikueleweshe hakuna miili yenye kinga imara kama ya wenzetu wachina lakini corona imewapukutisha.
Waafrika wa "uswahilini" au wa "ushuani" akiwemo yule mama aliyekuwa anasumbuliwa na kisukari?
 
Back
Top Bottom