Italy hali yazidi kuwa mbaya: Kabla hujalala tumia walau dakika moja kuwaombea kwa Mungu

Italy hali yazidi kuwa mbaya: Kabla hujalala tumia walau dakika moja kuwaombea kwa Mungu

Nilimsikia juzi T.B JOSHUA akisema corona itaisha tarehe 27 march

Hivi alitaja na mwaka?

It's Scars
Alisema at the end of this month then akataja tarehe.
Mimi niko kwenye magroup ya wafia dini nawapuuza ujinga wao. Tulibishana sana siku ile leo hola hakuna chanjo wala dawa. Mpuuzi mtupu na wafuasi wake.
 
Hawa si ndo wanatuitaga nyani hawa. Kila kukicha tunasikia ubaguzi mpya halafu leo tuwaombee dah,KARMA
 
Watakaokufa na wafe. Hakuna namna!

Dunia itaendelea na watakaobaki!

Tena hii kasi ya vifo ingehamia Africa tupunguze idadi ya watu ili dunia iwe stabilized kwa uwiano sahihi wa watu na rasilimali.

Mijitu inazaa zaa hovyo tu usiku na mchana!

Dunia inazidi kuwa finyu na ngumu kwa ajili ya umati wa watu wanaotumia na kukomba kila kilichomo!
Yani ingekuwa poa sana kama ungedondoka wewe kwanza
 
Mpaka sasa madaktari 51 waliokuwa wakiwatibia wagonjwa wa Corona Italy wamefariki.
 
Pamoja na hatua zote walizochukua hali bado ni tete sana. Siku ya leo tu watu 919 wamefariki kutokana na corona. Badala ya idadi ya vifo kupungua inazidi kuongezeka kila siku, pls kabla hujalala tumia hata dakika moja kuwaombea kwa Mungu awasaidieView attachment 1401142
Halafu nchi yangu anaiombea Nani, kila mtu na atabeba msalaba wake mwenyewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watakaokufa na wafe. Hakuna namna!

Dunia itaendelea na watakaobaki!

Tena hii kasi ya vifo ingehamia Africa tupunguze idadi ya watu ili dunia iwe stabilized kwa uwiano sahihi wa watu na rasilimali.

Mijitu inazaa zaa hovyo tu usiku na mchana!

Dunia inazidi kuwa finyu na ngumu kwa ajili ya umati wa watu wanaotumia na kukomba kila kilichomo!
Asee Muombe muumba msamaha muumba wako. Hakuna aijuaye baadae yake
 
Mpumbavu wewe Mungu kakupiga kiboko cha live: Unanikosoa makosa ya kibinadamu na wewe unakosea, ulitaka kujifanya mkamilifu. Ni rais na sio raisi
Ni Rais ndugu siyo rais, sina nia mbaya
 
Kwa mwenye akili timamu hapo ndio pakutambua Kama hii ni adhabu kutoka kwa Allah hata firauni alikua mgumu kuamini Kama walivyo binadamu wa sasa hivi maana maji yalikua yanageuka damu lakin walikua wanaona Kama uchawi wa nabii Musa tu sasa ndio maana mwenyezi mungu kabalanzi na ingekua wazungu wanauwezo na hii ishu bc wangeiamishia Afrika Kisha wao wakazuia kuingia kwao Ila Sasa hii ishu inajiseti yenyewe wali haijal mfumo Bora wa afya wala mbovu
Aisee hatari Sana
.
Hivi kwanini huko ugonjwa unaua Sana pamoja na miundombinu mizuri ya afya waliyo nayo
Ni nini hatma yetu huku pangu pakavu ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom