Itanigharimu kiasi gani kutalii katika Hifadhi ya Taifa ya Serengeti?

Itanigharimu kiasi gani kutalii katika Hifadhi ya Taifa ya Serengeti?

Mkuu samahani, urahisi wa kuingia hifadhini ni kutokea Arusha huku au mwanza? Au je wewe unawapokea wateja wako kutokea upande upi?
Hii inategemea sanasana na wewe unatokea wapi. Mara nyingi kama unatokea Mwanza gharama zinakuja kidogo Kwa kulinganisha na ukitokea Arusha. Hii ni Kwa sababu kutokea Arusha kwenda Serengeti ni lazima upitie HIFADHI ya Ngorongoro ambapo utalazimika kuilipia tozo kadhaa. Vile Ile utatumia muda mrefu zaidi kwani kutoka Arusha Hadi Serengeti ni kama 300-400 km lakini kutoka Mwanza ni kama 200-300km.
Binafsi napendelea kupokea wageni kutokea Mwanza.
Karibu sana.
0625818341
 
Wakuu,mtu akienda Serengeti na gari yake aina ya Subaru na abiria 5 gharama kwa makadirio ni Tsh ngapi, Yani kiingilio Cha abiria na tozo ya gari kwa day trip
 
Mkuu hongera sema wewe ni wa kampuni binafsi koz naona gharama ziko juu sana. Kwani hao Tanapa hawana guides? Au magari. Na kama hawana magari Ina maana mtu akienda bila gari la kuzungukia ndani wanakubali au wanakataa?
Unataka ukazunguke kwa miguu boss😀😆
 
Watu kama wewe 50 mneweza kuleta tija kuliko hio episode moja ya Royal Tour, Keep Up the good work
 
Back
Top Bottom