John safar tour
Member
- Dec 8, 2021
- 25
- 55
- Thread starter
-
- #61
Mugumu to Arusha
Basi gani iyo
Hii inategemea sanasana na wewe unatokea wapi. Mara nyingi kama unatokea Mwanza gharama zinakuja kidogo Kwa kulinganisha na ukitokea Arusha. Hii ni Kwa sababu kutokea Arusha kwenda Serengeti ni lazima upitie HIFADHI ya Ngorongoro ambapo utalazimika kuilipia tozo kadhaa. Vile Ile utatumia muda mrefu zaidi kwani kutoka Arusha Hadi Serengeti ni kama 300-400 km lakini kutoka Mwanza ni kama 200-300km.Mkuu samahani, urahisi wa kuingia hifadhini ni kutokea Arusha huku au mwanza? Au je wewe unawapokea wateja wako kutokea upande upi?
Unataka ukazunguke kwa miguu boss😀😆Mkuu hongera sema wewe ni wa kampuni binafsi koz naona gharama ziko juu sana. Kwani hao Tanapa hawana guides? Au magari. Na kama hawana magari Ina maana mtu akienda bila gari la kuzungukia ndani wanakubali au wanakataa?
Inategemea na package. Kama nataka nikakae ktk vijumba vyao tu sina haja ya kuzunguka?Unataka ukazunguke kwa miguu boss[emoji3][emoji38]
kutarii