Itapendeza sana Simba SC ikifuzu kucheza FIFA Club World Cup 2025

Hiyo orodha ukiangalia vizuri bado kidogo tungesema tuwasaidia utopolo muwafunge CRB ili wasiongeze points ila kwa kuwa mna viburi tunasema lolote baya liwakute, sisi tutajua jinsi gani ya kufuzu
Mtafuzu kwa vigezo vya Mo labda, lakini kwa vigezo vya fifa labda mkatambikie kwa Mzee kilomoni!
 
Unazungumzia mashindano ya fifa na TFF Iko chini ya mangungu Ama try again?
Aisee!!!

Nyie watu wa madimbwini kuelewa shida sana.

Kwa mfano mtihani kidato cha nne na mtihani wa kidato cha Sita ni sawa??

Au Kwa kuwa yote iko chini ya wizara ya Elimu basi ni sawa??

TFF Iko chini ya FIFA Lakini FIFA haiko chini ya TFF.

Au mpaka Nifah Tate Mkuu Shadeeya na utopolo wenzako wengine waseme umekosea ndiyo utaelewa!!??
 
Amepagawa baada ya kuona Deportivo de Utopolo hawana nafasi ya kwenda FIFA Club World Cup
 
Mnajichoaha bure kwa vigezo vilivyo wekwa nyie ni wa hapa hapa tu kama KMC
 
Amepagawa baada ya kuona Deportivo de Utopolo hawana nafasi ya kwenda FIFA Club World Cup
Timu yoyote itakayochukua ubingwa wa CAFCL msimu huu atakuwa na nafasi ya kucheza Fifa club world cup 2025
 
Simba hawezi Kama atashindwa kufuzu robo fainaly mwakabhuu. Na ataendelea kutofuzu pale ambapo, msimu ujao atashindwa kucheza ligi ya mabingwa Africa . Hata Sasa taa za hatari zinawaka, uenda Simba hasicheze ligi ya mabingwa msimu ujao akaishia shirikisho
 
Ni sahihi
Kama unajua ni sahihi kwanini ulisema kuwa Yanga haina vigezo vya kucheza FIFA club world cup? Timu zote 16 zilizofuzu katika hatua ya makundi zina nafasi ya kufuzu kasooro Wydad na Al Ahly pekee ambao wameshafuzu kwasababu ya kuwa bingwa wa misimu iliyopita. Kuna nafas moja ya bingwa mpya na kuna nafasi moja pekee ya upande wa rank.
 
Simba hii hii iliyotoka sare na KMC? Au ile iliyochapwa 5?

Mtafuzu kwa vigezo vya Mo labda, lakini kwa vigezo vya fifa labda mkatambikie kwa Mzee kilomoni!
Ungewajibu hivyo hawa wenzio ningekuona wa maana zaidi.

Nimewajibu hivyo kwa sababu wao wameikatia tamaa Deportivo de Utopolo yenu ndiyo wanaona wengine wote hawawezi kufuzu wakati vigezo bado vinaipa Simba nafasi.
 
Embu jaribu kuwaza Simba ifanikiwe kufuzu kwenye mashindano ya FIFA Club World Cup 2025 yanayotarajiwa kufanyika Marekani.

Embu waza usiku fulani hivi, Tanzania nzima mijini hadi vijijini kila mtu anakesha kuisubiri mechi ya Simba vs Real Madrid, aisee. Na unajua lazima Infantino na FIFA yake wataipanga Simba kwenye mechi ya ufunguzi maana wanajua vibe letu litafika hata huko.

Inshallah, kama nitabarikiwa kuwa hai kama Simba itafuzu haya mashindano lazima niyaone live bila chenga.
Ndoto nyingine bhana! Nyie pigeni picha hiyo orodha, inatosha!
 
Aisee!!!

Nyie watu wa madimbwini kuelewa shida sana.

Kwa mfano mtihani kidato cha nne na mtihani wa kidato cha Sita ni sawa??

Au Kwa kuwa yote iko chini ya wizara ya Elimu basi ni sawa??

TFF Iko chini ya FIFA Lakini FIFA haiko chini ya TFF.

Au mpaka Nifah Tate Mkuu Shadeeya na utopolo wenzako wengine waseme umekosea ndiyo utaelewa!!??
Amesema ukweli bhana. Simba ya kucheza hayo mashindano wachezaji wake bado hawajazaliwa.
 
Embu jaribu kuwaza Simba ifanikiwe kufuzu kwenye mashindano ya FIFA Club World Cup 2025 yanayotarajiwa kufanyika Marekani.

Embu waza usiku fulani hivi, Tanzania nzima mijini hadi vijijini kila mtu anakesha kuisubiri mechi ya Simba vs Real Madrid, aisee. Na unajua lazima Infantino na FIFA yake wataipanga Simba kwenye mechi ya ufunguzi maana wanajua vibe letu litafika hata huko.

Inshallah, kama nitabarikiwa kuwa hai kama Simba itafuzu haya mashindano lazima niyaone live bila chenga.
Ukisikia ndoto ya Alinacha, ndiyo hii sasa.
 
Hiyo orodha ukiangalia vizuri bado kidogo tungesema tuwasaidia utopolo muwafunge CRB ili wasiongeze points ila kwa kuwa mna viburi tunasema lolote baya liwakute, sisi tutajua jinsi gani ya kufuzu
Tiketi pekee ya yanga na simba kucheza hayo mashindano ni kuchukua ubingwa wa vaf champions league. Ila kushiriki kupitia points simba hawezi kuna mlima mrefu sana
 
Hapa yabidi tushinde mechi 12 au tuchukue kombe
 
Back
Top Bottom