Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Hii mada ingekuwa inaihusu ile timu ya yule jamaa aliyekuwa anasisitiza kila dakika kuwa msuli hauvaliwi na kitu ndani, ingekuwa tafrani.Badala waishukuru FIFA kwa kuwafichia aibu wapo mitandaoni wanabwabwaja tu na kulalamika. FIFA wangeweka mkeka mzima, Deportivo de Utopolo wangekuwa mkiani na vipoint vyao 8. Washangae sasa jinsi wanavyomcheka yule mwenye point 45.