Majok majok
JF-Expert Member
- Aug 3, 2023
- 783
- 2,057
Mtafuzu kwa vigezo vya Mo labda, lakini kwa vigezo vya fifa labda mkatambikie kwa Mzee kilomoni!Hiyo orodha ukiangalia vizuri bado kidogo tungesema tuwasaidia utopolo muwafunge CRB ili wasiongeze points ila kwa kuwa mna viburi tunasema lolote baya liwakute, sisi tutajua jinsi gani ya kufuzu
Aisee!!!Unazungumzia mashindano ya fifa na TFF Iko chini ya mangungu Ama try again?
Amepagawa baada ya kuona Deportivo de Utopolo hawana nafasi ya kwenda FIFA Club World CupAisee!!!
Nyie watu wa madimbwini kuelewa shida sana.
Kwa mfano mtihani kidato cha nne na mtihani wa kidato cha Sita ni sawa??
Au Kwa kuwa yote iko chini ya wizara ya Elimu basi ni sawa??
TFF Iko chini ya FIFA Lakini FIFA haiko chini ya TFF.
Au mpaka Nifah Tate Mkuu Shadeeya na utopolo wenzako wengine waseme umekosea ndiyo utaelewa!!??
Mnajichoaha bure kwa vigezo vilivyo wekwa nyie ni wa hapa hapa tu kama KMCAisee!!!
Nyie watu wa madimbwini kuelewa shida sana.
Kwa mfano mtihani kidato cha nne na mtihani wa kidato cha Sita ni sawa??
Au Kwa kuwa yote iko chini ya wizara ya Elimu basi ni sawa??
TFF Iko chini ya FIFA Lakini FIFA haiko chini ya TFF.
Au mpaka Nifah Tate Mkuu Shadeeya na utopolo wenzako wengine waseme umekosea ndiyo utaelewa!!??
Timu yoyote itakayochukua ubingwa wa CAFCL msimu huu atakuwa na nafasi ya kucheza Fifa club world cup 2025Amepagawa baada ya kuona Deportivo de Utopolo hawana nafasi ya kwenda FIFA Club World Cup
Kama unajua ni sahihi kwanini ulisema kuwa Yanga haina vigezo vya kucheza FIFA club world cup? Timu zote 16 zilizofuzu katika hatua ya makundi zina nafasi ya kufuzu kasooro Wydad na Al Ahly pekee ambao wameshafuzu kwasababu ya kuwa bingwa wa misimu iliyopita. Kuna nafas moja ya bingwa mpya na kuna nafasi moja pekee ya upande wa rank.Ni sahihi
Kama unajua ni sahihi kwanini ulisema kuwa Yanga haina vigezo vya kucheza FIFA club world cup? Timu zote 16 zilizofuzu katika hatua ya makundi zina nafasi ya kufuzu kasooro Wydad na Al Ahly pekee ambao wameshafuzu kwasababu ya kuwa bingwa wa misimu iliyopita. Kuna nafas moja ya bingwa mpya na kuna nafasi moja pekee ya upande wa rank.
Simba hii hii iliyotoka sare na KMC? Au ile iliyochapwa 5?
Ungewajibu hivyo hawa wenzio ningekuona wa maana zaidi.Mtafuzu kwa vigezo vya Mo labda, lakini kwa vigezo vya fifa labda mkatambikie kwa Mzee kilomoni!
Ndoto nyingine bhana! Nyie pigeni picha hiyo orodha, inatosha!Embu jaribu kuwaza Simba ifanikiwe kufuzu kwenye mashindano ya FIFA Club World Cup 2025 yanayotarajiwa kufanyika Marekani.
Embu waza usiku fulani hivi, Tanzania nzima mijini hadi vijijini kila mtu anakesha kuisubiri mechi ya Simba vs Real Madrid, aisee. Na unajua lazima Infantino na FIFA yake wataipanga Simba kwenye mechi ya ufunguzi maana wanajua vibe letu litafika hata huko.
Inshallah, kama nitabarikiwa kuwa hai kama Simba itafuzu haya mashindano lazima niyaone live bila chenga.
Amesema ukweli bhana. Simba ya kucheza hayo mashindano wachezaji wake bado hawajazaliwa.Aisee!!!
Nyie watu wa madimbwini kuelewa shida sana.
Kwa mfano mtihani kidato cha nne na mtihani wa kidato cha Sita ni sawa??
Au Kwa kuwa yote iko chini ya wizara ya Elimu basi ni sawa??
TFF Iko chini ya FIFA Lakini FIFA haiko chini ya TFF.
Au mpaka Nifah Tate Mkuu Shadeeya na utopolo wenzako wengine waseme umekosea ndiyo utaelewa!!??
Ukisikia ndoto ya Alinacha, ndiyo hii sasa.Embu jaribu kuwaza Simba ifanikiwe kufuzu kwenye mashindano ya FIFA Club World Cup 2025 yanayotarajiwa kufanyika Marekani.
Embu waza usiku fulani hivi, Tanzania nzima mijini hadi vijijini kila mtu anakesha kuisubiri mechi ya Simba vs Real Madrid, aisee. Na unajua lazima Infantino na FIFA yake wataipanga Simba kwenye mechi ya ufunguzi maana wanajua vibe letu litafika hata huko.
Inshallah, kama nitabarikiwa kuwa hai kama Simba itafuzu haya mashindano lazima niyaone live bila chenga.
Ligi ya NBC tu kamasi linawatoka wanawaza kucheza na Real MadridUkisikia ndoto ya Alinacha, ndiyo hii sasa.
Izo 5 zinahusika maana ni lazima ukusanye point ligi ya ndani ndio ufike uko kucheza na wakina wydad na kwa moto wa azam msimu huu sioni makolo mkiingia top 2 ligi kuuHizo 5-1 au droo ya 2-2 hazihusiki na mashindano hayo ya FIFA.
Kinachohusika ni zile 2-0 walizopigwa Wydad.
Tiketi pekee ya yanga na simba kucheza hayo mashindano ni kuchukua ubingwa wa vaf champions league. Ila kushiriki kupitia points simba hawezi kuna mlima mrefu sanaHiyo orodha ukiangalia vizuri bado kidogo tungesema tuwasaidia utopolo muwafunge CRB ili wasiongeze points ila kwa kuwa mna viburi tunasema lolote baya liwakute, sisi tutajua jinsi gani ya kufuzu
Wamezoea mashindano ya tff kwa sababu wanawamudu waandaajiTunazungumzia mashindano ya FIFA wewe uko bize na mashindano ya TFF.