Badala waishukuru FIFA kwa kuwafichia aibu wapo mitandaoni wanabwabwaja tu na kulalamika. FIFA wangeweka mkeka mzima, Deportivo de Utopolo wangekuwa mkiani na vipoint vyao 8. Washangae sasa jinsi wanavyomcheka yule mwenye point 45.