I feel like baadhi ya watu hawana shukrani na wana pupa sanaMama kweli akizingua kwenye matakwa ya wananchi anaweza kuchukiwa mara mbili ya alivyochukiwa Magufuli.
Maana calculations anazozifanya Samia ni kudhani kuwa anaweza kuituliza nchi hii kwa kurekebisha makosa ya Magufuli na kujenga uchumi imara peke yake na kwamba suala la katiba mpya linaweza kusubiri tu.
Kwenye kurekebisha makosa ya Magufuli yuko sahihi, kwenye kujenga uchumi yuko sahihi ila kwemye ishu ya katiba mpya amelosea tena amekosea kwelikweli.
Tatizo ninaloliona ni kuwa
1. Anaweza kujikuta anafikia hatua serikali yake ni unpopular sana na sasa ili kudhibiti sauti za wananchi basi naye akajikuta anarudi kulekule kwenye kufanya mambo yaleyale ambayo wananchi waliyoyachukia sana kwenye utawala wa Magufuli ya ubabe, ukatili, uongo mkubwa, propaganda kubwa, kununua wanasiasa kwa kuwahonga pesa na vyeo ili wamuunge mkono, na kuzidisha uonevu ili kunyamazisha sauti za wananchi wanaotaka mabadiliko nchini. Sasa akianza kufanya hayo atachukiwa mara kumi na kwa kuwa yeye siyo Bandidu kihulka kumfikia Magufuli, hatoweza kudhibiti hiyo hali, kimsingi anaweza kusababisha machafuko nchini.
2. Uchumi ni suala endelevu, halina mwisho wa ujenzi wake, Iwapo Atashindwa kumeet expectations za wananchi kwenye maisha mazuri na uchumi mzuri atakutana na hasira mbili, hasira za wananchi kunyimwa katiba yao wanayoitaka na hasira ya uchumi mbaya. Ilifikia hatua hii atakosa kitu cha kuwatuliza wananchi nacho!. kutegemea economic reform ukaachana na political reform, unakuwa unakuwa unacheza kamari, maana huo uchumi ukibuma basi unakuwa huna kadi ya kisiasa ya kutuliza joto hapo ni hatari.
Amekwambia kazi ya kujenga uchumi inaisha lini?I feel like baadhi y watu hawana shukrani na wana pupa sana
si heri hata hajakataa?
Kwani kutekeleza matakwa ya wananchi ni utashi binafsi wa Rais?I feel like baadhi y watu hawana shukrani na wana pupa sana
si heri hata hajakataa?
Acha ujinga, naona umejiunga JF majuzi tu. Wengine humu tulikuwa tunamkoma huyo kichaa kama kawaida toka asukumiziwe madaraka yanayomzidi kimo. Ni vile tu alikuwa anahatamia vyombo vya habari sawa na jogoo kuhatamia mayai...wapi na wapi!Mama kawatuliza hadi mmeanza mkosea adabu sio?
Hv mngeweza kumuambia Hayati maneno ya hivi?
Msisahau na yeye ana madaraka yaleyale
Thubutu! huko aliko bila shaka yoyote anajuta na kuteseka kwa kipigo anachokipata wakati sisi huku tunalala usingizi mwororo baada Corona kutukomboa na hila zake.JPM anawazoom tu na kusema hiiiiiiiiiiii mmeanza kunikumbuka mapema hii 🙂
Usione tarehe ya kujiunga ukadhani tumekuja humu juziAcha ujinga, naona umejiunga JF majuzi tu. Wengine humu tulikuwa tunamkoma huyo kichaa kama kawaida toka asukumiziwe madaraka yanayomzidi kimo. Ni vile tu alikuwa anahatamia vyombo vya habari sawa na jogoo kuhatamia mayai...wapi na wapi!
Hakuwa na sifa, busara wala hekima na hungeweza kumtofautisha na mnyama wa porini asiyekuwa na habari na sheria, taratibu, kanuni wala ustaarabu kama binadamu. Usije ukaniambia na mama ana mpango wa kuzifuata nyayo zake mwandazake!
NdioKwani kutekeleza matakwa ya wananchi ni utashi binafsi wa rais ?
Ur acting as if Mama katawala miaka 2Amekwambia kazi ya kujenga uchumi inaisha lini?
Nchi gani duniani imemaliza kazi ya kujenga uchumi?
Nobody had the balls kumdai Magu katiba leo ndo mmezipata sio?Rais Samia alikiri kwamba kasi ya ukuaji wa uchumi imedondoka kutoka 7% mpaka 4.7% kipindi ambacho JPM “alisimimamisha” matumizi ya Katiba huku akiomba apewe muda
Did it work? Nop. Sasa huyu Rais Samia anataka kutuambia nini? Anadhani issue ya kukuza uchumi ina deadline?
Huyu asiitwe tena Mama. Aitwe Rais Samia tu
Kate, as you clearly did not grasp the point, please let the matter concerning “balls” be discussed by men😊Nobody had the balls kumdai Magu katiba leo ndo mmezipata sio?.
Heheh sasa mngepambana na mwenzenu mwenye nazo..mmezubaa hadi ameresti in peaceKate, as you clearly did not grasp the point, please let the matter concerning “balls” be discussed by men😊
Point haikuwa issue ya kupewa Katiba mpya ama la, ni kuhoji tu logic eti kwamba Rais anahitaji kupewa muda zaidi na kususpend baadhi ya haki za raia ili tu apate muda wa kusimamisha (kuinua) uchumi.Heheh sasa mngepambana na mwenzenu mwenye nazo..mmezubaa hadi ameresti in peace
Three months vs 6 yrsPoint haikuwa issue ya kupewa Katiba mpya ama la, ni kuhoji tu logic eti kwamba Rais anahitaji kupewa muda zaidi na kususpend baadhi ya haki za raia ili tu apate muda wa kusimamisha (kuinua) uchumi.
It is a lame excuse na haina mantiki yoyote